Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Sasa kupata laki tano kwa dakika 20 na kukaa kurasini unavuta bangi bora nini?

Mnawapotosha sana hawa vijana, kila zama na kitabu chake, Bigirimana amecheza ligi kuu England lakini amekuja Yanga kuzidiwa mshahara na Aziz Ki na bado akaachwa.

Sasa Nature wa Wachuja Nafaka siyo huyu wa leo asijidanganye. Kwanza nyimbo zenyewe akiimba anasahau.

Hivi hii laki tano mnayoidharau wangapi IPO mfukoni mwenu SAA hizi?

By the way naamini hizi ni siasa chafu tu za kumchafuwa Dogo Diamond.

Nature si Mara ya kwanza kufanya huu upumbavu, alishafanya Uingereza hakutoka hotelini ilibidi inspector Haroun akaenda kukamuwa show peke yake.

[emoji23][emoji23][emoji23] eti anasahau anachoimba!! Itakuwa bange anatovuta kali
 
Inaweza kuwa tafsiri ya ushamba kwako wewe ambae mtazamo wako ushamba ni kutokumjua huyo juma necha, na mimi tafsiri ya ushamba kwangu ikawa nakuona wewe ndo mshamba kwa kuona watu ni washamba kisa hawamjui
Tafsiri halisi ya bakita.USHAMBA NI HALI YA KUTOKUJUA KITU AU JAMBO FULANI.Hiyo ya kwako Baki NAYO.Wasiomjua nature ni washamba kama washamba wengine kwenye ushamba mwingine.
 
Pengine hiyo laki 5 kutokana na uchumi wako unaiona kubwa na inafaa kuwa bajeti ya siku nyingi.

Lakini jaribu kufikiria kwa namna nyingine.

Wasafi ni brand kubwa na iliyo take over industry ya mziki hapa Tanzania.

Ni brand ambayo ndio ina msanii maarufu na mwenye hela Tanzania na yeye mwenyewe amekuwa akijisifia.

Ni Festival ambayo host anamiliki vitega uchumi vikubwa vinavyomuingizia hela nyingi.

Na hata hii Festival haifanyi kama Foundation, haifanyi kama msaada kusema anatoa hela yake mfukoni kuwalipa wasanii waperfom bila mategemeo ya kupata chochote in return.

Hapana ni show ambayo ina wadhamini wakubwa kama Pepsi ambao hawa wanaweka mpunga mrefu.

Una amini Diamondi kumuita Nature kwenye show ilikuwa ni msaada au Diamondi mwenyewe aliona kitu special ambacho Nature angeweza ku offer kuifanya show yake iwe impressive?

Haikuwa ni msaada ilikuwa ni biashara na ndio maana wapo wasanii walioitamani hiyo nafasi hata kwa bila malipo.

So usimuone mjinga kuikataa hela hiyo, yes inaweza ikawa kubwa kwangu mimi na wewe ila yeye ikawa ni tofauti.

Ni Kweli alikuwa fundi,tatizo wanaoenda kwenye hayo matamasha hawamjui, sie tunamjua hatuendi tena
Sasa uende kufanya nini sehemu umelipa pesa yako uangalie show matokeo yake unaishi kuambiwa piga kelele, mikono juu halafu nyimbo ya msanii badala ya yeye ndio akuimbie añalazimisha washabiki ndio muimbe, ujinga mtupu.

Kama huyo Nature akishalewa Balimi nyimbo zenyewe anasahau mistari.

Hawa Wakongwe Sugu yuko makini sana, Profesa Jay, Gangwe Mob nao walikiwasha kisawasawa concert ya mwisho ya Legends honour.

Nature live performance na vyombo hamna kitu, ukimuona Chizi benze jukwaani anavyopiga makelele huwezi kuamini kama Dar stand ni nyimbo yake.

Msanii bora ni yule tu anayeweza kukupa fleva ileile ambayo unaisikia redioni na akiwa live on stage update fleva ile ile.
 
Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu.View attachment 2738920

Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda lakini hujaonekana, Juma Nature pasipo kupepesa macho wala kufikiria mbali zaidi akajibu, “Nafanyaje Show kwa laki tano si dharau hizi”
View attachment 2738925

Ukimuona Juma Nature utamwambia nini?
Juma Nature kwa sasa kilichobaki ni kujitutumua tu
 
Msanii bora ni yule tu anayeweza kukupa fleva ileile ambayo unaisikia redioni na akiwa live on stage update fleva ile ile.
Hapa ndio nimejua kuwa tuna argue na mtu ambaye hajui chochote kuhusu live performance.

Kwa hiki ulichokiandika i'm gonna let you win. I'm out
 
Tafsiri halisi ya bakita.USHAMBA NI HALI YA KUTOKUJUA KITU AU JAMBO FULANI.Hiyo ya kwako Baki NAYO.Wasiomjua nature ni washamba kama washamba wengine kwenye ushamba mwingine.
Mi ndo hiyo bakita uliyoeenda kutafuta tafsiri sasa tafsiri ya ushamba ni kumuona mtu mshamba kisa hamjui mtu au kitu ambacho hakina umaarufu nje ya mipaka.
Hiyo tafsiri nyingine baki nayo wewe
 
Hayuko kwenye trend.... anataka alipwe kama walioko kwenye trend?
Angeenda tu.
Ishu ni kuwa kwenye trend au mziki wake unakubalikaje? Mbona wapo watu kibao kwenye trend ila wakisimama jukwaa moja na JN hawatoboi. Mwamba kaonyesha kutokua na njaa. Njaa zinafanya watu wanapanuliwa matundu kama hawana misimamo
 
Hapa ndio nimejua kuwa tuna argue na mtu ambaye hajui chochote kuhusu live performance.

Kwa hiki ulichokiandika i'm gonna let you win. I'm out
Na ndio maana tunaopenda muziki ni watu wa rhumba hayo matakataka yenu tunawaachia wenyewe msanii hajui hata kutunza sauti, pumzi ya kuimba hana kazi piga kelele na mikono juu hiyo ndio starehe yenu.
 
Whozu pia ana viewers......
Na streams, je whozu atakusanya kijiji kuliko Nature?
Kama msanii ana mashabiki wakubwakwa sasa, kwanini hawatazami kazi zake? Au kwamba Nature anauza nyimbo kwa kutembeza kama Nash MC kwahiyo mashabiki zake wanazo hardcopies?

Nyinyi mashabiki lialia wa Nature huwa mnatazamia wapi na kusikilizia wapi kazi zake kama sio kulekule ambako mashabiki wa Whozu wanatumia? Sasa kama kuna mlinganyo sawa kwenye mainstream kwanini Nature mmempoteza.

Kwenye population structure ya Tanzania ni kundi gani lenye idadi kubwa ya watu kati ya 18-35 yrs la Whozu na hilo la 30-50 yrs la Nature. Chini ya 18 hatutarajii kupata walipa tiketi, juu ya 50 hatutarajii kupata watu wa kuambiwa mikono juu.

Juma Nature akiita show yeye peke yake wataenda 30+ y/o, idadi kidogo ila kiingilio kikubwa. Whozu atapata under 30 wabana pua wenzake na wavaa mlegezo wengi ila kiingilio walipe kidogo.

Mwisho wa siku tukiweka in terms of business, Wasafi Festival na Fiesta ni matukio ya vijana wadogo ambalo sio soko la Nature. Business is business, heshima hailipi gharama za maandalizi.
 
First Nature alikuwepo before technologies za kustream hazijasambaa Bongo.
Zilipo ingia wajanja wakamuwahi wakaweka Nyimbo zake na wamepiga viewers na streams kibao.
 
Point zako zote zipo valid Ila kama wanaona kibiashara haipo vizuri walimfuata wa nini ??.....
Umeuliza swali jepesi mno. Juma Nature walifanya naye deal wakataka kumlipa kulingana na thamani wanayomuona nayo, akaona hela wanayolipa haimtoshi thamani yake akakataa. Story iliishia hapo.

Kama Nature angekuwa na thamani kubwa kwa tamasha, wangeongeza dau. Ila kibiashara wameona hastahili hela zaidi ya hiyo.

Nikiwa nauza simu kwa laki saba, ukataka kunipa laki 6 nikakataa ukaondoka. Hiyo inamaanisha sikutaka kuuza simu? Au inamaanisha wewe hutaki kununua simu?
Ni kwamba maslahi yangu hayaendani na maslahi yako. Sio heshima, wala usilete habari za bei uliyopewa mwaka juzi kwa laki 4 wakati sasa simu zimebadilika specs.
 
First Nature alikuwepo before technologies za kustream hazijasambaa Bongo.
Zilipo ingia wajanja wakamuwahi wakaweka Nyimbo zake na wamepiga viewers na streams kibao.
"...Juma Nature alikuwepo...." so hii Wasafi Festival ina maudhui ya kubeba nostalgia?
Kwamba Wasafi Media & label ya late 2010s imeandaa tamasha la kumbukumbu za early 2000s na kwa ajili ya vijana ambao miaka ile walikuwa wanalamba makamasi?
Tafuta kwanza lengo la matamasha kama haya ni nini.

Na tunarudi palepale kuleta hisia na ushabiki kwenye masuala ya biashara. Nature anao uwezo wa kukusanya catalogue yake yote na kutoa mashtaka kwa platforms zote zikafutwa kazi zake akaziweka kwenye akaunti zake. Je mashabiki lialia kama nyinyi mtafuatilia hizo kazi na nyingine mpya? Au atatumia nguvu nyingi kuzikusanya na wala asikusanye malipo.

Ingekuwa muziki wa injili angalau hoja zenu zingekuwa na mashiko, upako wa Rose Muhando na wa Goodluck Gosbert wote unatoka kwa Roho Mtakatifu yuleyule.
 
Ukweli ni kwamba binafsi hata Diamond, Ali Kiba, mjomba nchumali, sijui kina Marioo wapige show bure hapo kibarazani kwangu siwezi kwenda.. kila mtu na akipendacho.

Hao wasafi kumfata nature kuna jambo wameliona na nature kakataa sababu anajua thamani yake.
Bora umesema wewe,..yani hata kama Sina mishe kabisa ,au wasanii sijui wanamuziki hawanitoi ndani,,ila nisikie GWM ,UVC..nitaenda....
 
"...Juma Nature alikuwepo...." so hii Wasafi Festival ina maudhui ya kubeba nostalgia?
Kwamba Wasafi Media & label ya late 2010s imeandaa tamasha la kumbukumbu za early 2000s na kwa ajili ya vijana ambao miaka ile walikuwa wanalamba makamasi?
Tafuta kwanza lengo la matamasha kama haya ni nini.

Na tunarudi palepale kuleta hisia na ushabiki kwenye masuala ya biashara. Nature anao uwezo wa kukusanya catalogue yake yote na kutoa mashtaka kwa platforms zote zikafutwa kazi zake akaziweka kwenye akaunti zake. Je mashabiki lialia kama nyinyi mtafuatilia hizo kazi na nyingine mpya? Au atatumia nguvu nyingi kuzikusanya na wala asikusanye malipo.

Ingekuwa muziki wa injili angalau hoja zenu zingekuwa na mashiko, upako wa Rose Muhando na wa Goodluck Gosbert wote unatoka kwa Roho Mtakatifu yuleyule.
Sielewi tunachoargue hapa ni kipi....
Umeulizia streams nimekwambia alikuwepo before technologies.
Pia Nature hakwenda wasafi kuomba shoo, ikieleweka hivi hutopata tabu.
Why walimuita in the first place?
Walikuwa wanamuonea huruma?
 
Wasanii wengi walikufa kisanaa baada ya kugombana na clouds Ile yeye amesavive bila hata kuwapigia goti hata na nature bila ya clouds angekufa kisanaa issue sio tu social media ni nguvu ya msanii ni kubwa Ndio imemsaidia maana kama ni social media pekee si wangetoboa wengi
Inategemea uko na watu sahihi?
 
Usibishe brother, bila social media diamond angeshushwa vizuri tu maana hizi digital platforms na social media ndo zimeondoa utegemezi wa watu kwenye media kubwa kupush kazi zao

Ila kama media zingekuwa na hiyo domination hadi Leo, diamond angebaki ni yesterday story kama waliopita
Nawaambia watu hapa ishu ni mtu sahihi wa kuku guide kuelekea huko. Diamond alishakuwa na mtaji na kipaji cha kutengeneza hela tu. Aliwa bypass clouds kwa kuwa na mtu sahihi tu ambaye ni Salam SK. Njia walioitumia ya kuweka kazi kwenye platforms za online ndio imewapa hela na Youtube imesaidia sana kuji brand na kujiuza duniani.
 
Back
Top Bottom