Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

Namuenjoy tu babu, mie siwezi unga undugu na fox[emoji23][emoji23]
 
Naona umepoteza kumbukumbuku uncle......
2019 mtoto 6nta alihojiwa na akasema ndio kwanza kafukisha miaaka 23...🤣🤣

Hahah yule Sinta hawezi kuwa 23 mzee baba...

Miaka fulani hapo kabla Covid haijachachamaa nilikuwa namuona sana mitaa ya Fayakat Tower hapo, ukimuona hivi tayari kashafikia umri wa kuwa lishangazi
 
Hii block 47 sema kateleza tu
 
Hahah yule Sinta hawezi kuwa 23 mzee baba...

Miaka fulani hapo kabla Covid haijachachamaa nilikuwa namuona sana mitaa ya Fayakat Tower hapo, ukimuona hivi tayari kashafikia umri wa kuwa lishangazi
Ebu fanya kitembelea tena hiyo mitaa ya fayakat tuone kama naweza bahatisha mawasikiano yake mjomba...😊
Maana nataka nipige nae shoo moja kali sana zaidi ya kaole uncle...☺
 
Nkiwa form five jumanature na kundi lake walipita shuleni kwetu na tukawapa ugali wetu wakala tena kwa upendo!

Na kipindi hicho jumanature alikuwa mkubwa katuzidi form five yote tena zaidi ya miaka 12 ukimuangalia tuu…

Sasa leo hii ninaposikia jumanature ana miaka 37 kweli ni habari ya mshituko kwangu pengine wazazi wangu walinidanganya kuhusu umri wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…