Nature awezi kuwa wa 80 nature ni wa 70s niko tayari kugharamia vipimo vya umri na mifupa kama yuko tayariNinavyomfahamu JUma Nature ni kwamba alizaliwa mwaka 1980 na kwa sasa ana 43, sababu mwenzake Mulla na mmoja wao kwenye kundi lao la muziki la TMK nimemsahau jina, niliwapita madarasa mawili pale Kibasila nilikuwa naishi nao jirani kota za Bora pale Keko
Wikipedia wamedanganywa
Inawezekana kipindi icho alikuwa na miaka 19 so ukijumlisha na hyo 18 inakuja 37Hata mimi nature kaanza kuimba namsikia niko primary zaidi ya miaka 18 ago.
Naye kawa kama maslay na wachezaji wa mpira.
Haiwezekani kabisa maana kwa hesabu zake ina maana nmeanza kumsikia niko primary anaimba. Taarifa zinasema kazaliwa mwaka 1980.Inawezekana kipindi icho alikuwa na miaka 19 so ukijumlisha na hyo 18 inakuja 37
Sio kweliNature awezi kuwa wa 80 nature ni wa 70s niko tayari kugharamia vipimo vya umri na mifupa kama yuko tayari
Wewe si ndio ulisema Shirima wa precision air ni classmate wako ?[emoji23]Classmate Unazingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nkiwa form five jumanature na kundi lake walipita shuleni kweli na tukawapa ugali wetu wakala tena kwa upendo!
Na kipindi hicho jumanature alikuwa mkubwa katuzidi form five yote tena zaidi ya miaka 12 ukimuangalia tuu…
Sasa leo hii ninaposikia jumanature ana miaka 37 kweli ni habari ya mshituko kwangu pengine wazazi wangu walinidanganya kuhusu umri wangu
Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.
My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inamaana nature anamaanisha wakati 2002 anatoka na album ya ugali alikuwa na miaka 15?
Ebu fanya kitembelea tena hiyo mitaa ya fayakat tuone kama naweza bahatisha mawasikiano yake mjomba...😊
Maana nataka nipige nae shoo moja kali sana zaidi ya kaole uncle...☺
niishie tu kusema pombe ngumu Sigara, Bangi na maisha Bwete vinazeesha!!Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.
My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?
R.i.P Medy Mpakanjia...😪Hahaha mzee baba usisahau tu kwamba alishaimbiwa "Inaniuma sana..."