Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?[emoji2][emoji2]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm ni mtanzania pekee ambaye sifichi umri wangu mara zote nawaambia vijana kuwa nimestaafu utumishi lakini bado niko fiti sana kuanzia kichwani hadi kunyandua.

Huyo Kiroboto analeta fix za kindezi ni around 50 kinachombeba ni mwili mdogo wa kukomaa lakini naamini hakosi mavyuzii meupe kama niliyo nayo mm mstaafu.
 
Loooh kumbe ukizeeka yanabadilika yanakuwa meupe?[emoji23]
 
Sio kwel hapa Nature katupiga kamba parefu
Nature nimeanza kumskia miaka ya 2002 wakat huo nna miaka 08 ...sahv nna miaka 29 kwamba tuseme nature 2002 alikua na miaka 16 ??? Huu ni uongo
 
Mwenye high school
 
Jf members hawazeekagi

Ova
Hahaha............mbona wengine tumezeeka na tumekiri wazi🤪

Unaweza kuwa mzee na bado ukala dogo dogo 🤪, nimesoma Jana kuwa Berlusconi (Waziri Mkuu wa Zamani wa Italy) alikuwa amezeeka lakini bado alikuwa ana gonga dogo dogo.

Wabongo wengi wanaogopa uzee kwa sababu hiyo tu.

Ama unakuta mtu amezeeka ila hakuwa amejipanga kimaisha, kwahiyo lazima aogope uzee 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…