Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?[emoji2][emoji2]Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.
My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?
Sent using Jamii Forums mobile app