Juma Nature: Nyota kubwa inayoelekea kuzimika

Juma Nature: Nyota kubwa inayoelekea kuzimika

Kaka, nature ndio msanii pekee ambae hawezi kuchuja, bado ni lulu mpaka kesho. Ni msanii ambae hata asipotoa single anapata mialiko ya kufanya show na akapigiwa shangwe la kutosha tofauti na wasanii wengine, kwahiyo nature hawezi kupotea leo wala kesho ukilinganisha na wasanii wengine brother. Bado nature anaweza sana...cha kumshauri labda arudie style yake ya zamani.

Yawezekana hujafanikiwa kuhudhuria show yoyote ya nature hvi krbuni,the only media inayombeba brother nature ni clouds fm,ila i hvnt heard wapi ckuhizi anaitwa labda anakopata ushabiki wa kutosha ni temeke ndio sana.mm was the one niliekua namkubali sana but muda wake umeisha ss.huo ndio ukweli.hta yy sasahivi anasema anabaniwa na media lkn nini kilitokea those days na sasa
 
Unadhani ni nini anatakiwa afanye ili arudi kwa chat?
 
hayo ni majina ya nyimbo...
Twende kwenye kilichomo ndani ya hizo nyimbo sasa...

Unataka maudhui ya wimbo gani kati ya hizo tuanze nayo?kwanza ushawahi kuzisikia au unataka tuongelee kitu ambacho haukijui ili nianze na kukutafutia nyimbo usikilize kwanza.
Ukweli unabaki huu muziki umeanza kuusikiliza baada ya ujio wa dogo Janja hauwezi kusema Nature hana kipaji wakati wasanii kibao wamepita kwenye mikono yake haujui Nature alilibeba kundi la TMK akawapa nafasi ya kuizunguka TZ,kakatiza na JK nchi nzima,kashirikishwa na kila msanii mkubwa nchi narudia tena ameshirikishwa sana sasa inakuaje awe hana kipaji alafu jua kua hayo maisha yenu ya kupiga picha IG kuonyesha bajaji na tv mpya mlizonunua sio maisha ya Nature ila jamaa hajapanga anaishi kwenye nyumba yake jiulize mbona mpaka leo pale Diamond jubilee hakuna alievunja rekodi ya kuujaza ule ukumbi unaleta unazi eti unaudhuria show za kijanja zipi hasa kama unajua historia ya huu muziki hauwezi kumtoa Nature kama legend na mchango wake huko wazi.
 
Unataka maudhui ya wimbo gani kati ya hizo tuanze nayo?kwanza ushawahi kuzisikia au unataka tuongelee kitu ambacho haukijui ili nianze na kukutafutia nyimbo usikilize kwanza.

nina mini studio...
So wewe shusha mashairi kisha nianze kutiririka.

Jamaa yenu hajui
 
nin mini studio...
So wewe shusha mashairi kisha nianze kutiririka.

Jamaa yenu hajui

Taja wasanii unaoamini wewe kua wanajua kwanza ili tuende sawa alafu hakuna matusi hapa tunaelezana naona una-panick sana.
 
Taja wasanii unaoamini wewe kua wanajua kwanza ili tuende sawa alafu hakuna matusi hapa tunaelezana naona una-panick sana.

swadaktaaar McDonald Jr...
Kwanza tazama kama kuna sehemu ninemtusi mtu bila yeye kuanza kunitusi.

Nipo JF tangu 2008 na ID tofauti tofauti.
Huwezi kukuta nimemtukana mtu bila yeye kunitusi.

Wewe unakujaga jukwaa la michezo na je umewahi kusoma nimekutusi?

$asa waambie na wenzio kuwa matusi hayatoboi ila hoja zinajenga.
 
juma Mohamed Mchopanga...

Unaona sasa unavyojichanganya J.Mo mara ngapi kakubali kipaji cha Nature unaikumbuka albamu ya "Ulimwengu ndio mama" ushawahi kusikiliza wimbo wa Mshamba?nani kapita na chorus?kwa kifupi Mo' tech' na Nature walikua ndio vinara pale Bongo records rejea show ya miaka 10 ya Bongo records pale D.Jubilee kama unakumbuka,jiulize kwa nini Mo' amshirikishe Nature asiyekua na kipaji.
Sawa swahiba nimekusoma nlitoa tu angalizo maana mimi naogopa mjadala ukiambatana na matusi.
 
dah we jamaa sijui hata nianzie wapi...
Kumkubali Juma hakumaanishi anaowakubali yeye basi na mimi niwakubali...
Naomba ieleweke hilo kwanza...
 
wimbo ambao utatoka hivi karibuni wa jeshi ambao mike tee ameutoa kama sample watu wengi hawajui kama lile dili lilikua kati ya nature na jeshi lakini jamaa aliwapa shavu professor jay na jay moo
 
dah we jamaa sijui hata nianzie wapi...
Kumkubali Juma hakumaanishi anaowakubali yeye basi na mimi niwakubali...
Naomba ieleweke hilo kwanza...

Ishu sio kumkubali na kua shabiki wake nachojaribu kusema tukubali kua jamaa ana kipaji na ana mchango mkubwa kwenye muziki huu.
 
Ishu sio kumkubali na kua shabiki wake nachojaribu kusema tukubali kua jamaa ana kipaji na ana mchango mkubwa kwenye muziki huu.

mkuu tiririka mashairi ya kiroboto kisha utaamini ninachokisema hapa...

Jamaa hana vina wala mizani...na ujumbe anaofikishia hadhira hauna mashiko
 
What about Jayz?

Kwa kuwa hawawezi kuibuka kwa pamoja basi hata namna watakavyopotea hawatapotea kwa pamoja, na uzuri wa sanaa ya Music ni kuwa kuna sababu nyingi za msanii kupotea, mojawapo ni kuibuka kwa wasanii wapya wenye ama uwezo zaidi ya waliopo au ladha tofauti ambayo itateka hadhira (hii pia ni 1 ya sababu za nature kupotea)!

Kwa hili la kwanza, bado Jigga ataendelea kusumbua mpaka watakapotokea wakali zaidi yake, waliopo hawamuwezi, laa tutarajie Jigga kudondoka kwa factors zingine!
 
Unadhani ni nini anatakiwa afanye ili arudi kwa chat?

Kitu cha kwanza lazima abadilishe sytle yake co hiyo inamcost hii ni sawasawa na Prof J habadiliki and hence anapotea
Kitu Cha pili kukubali kufanya kolabo na hawa wasanii wapya I e ni mogo wakutokea
Tatu aachane na kutegeneza bifu zakipuuzi kwai dio zinammaliza.
 
dah! Mafua mpaka kwenye maandishi......hahahaha....umeua mkuu!
 
Back
Top Bottom