makondekoujiji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 384
- 499
Moja kati ya sifa za mpumbavu ni kujifanya anajua kila kitu..na kimbilio lake Ni matusi.Mkuu acha tabia hizo hufanani nazo..usidhani ni ww pekee ndio unaemjua Mzee JumaWho do u think.ur fooling here?
AbuFizzer ni tapeli na wewe utakuwa mwenzake tu..Acheni.kuhadaa watu nyie..wana.jf kuweni makini na.matapeli.hawa...be warned
Huwezi kutapeli watu halafu nikuangalie hivi hivi.Moja kati ya sifa za mpumbavu ni kujifanya anajua kila kitu..na kimbilio lake Ni matusi.Mkuu acha tabia hizo hufanani nazo..usidhani ni ww pekee ndio unaemjua Mzee Juma
Namjua Mzee juma pengine kuliko ww mkuu.. Nymba yake na mtaa aliokuwa anaishi nilikuwa daily na historia yake naijua vizur tu.pia nilimuona kwa macho yangu sikuhadithiwa kama ww.Acha utapeli
Mkuu una maslahi na hii story?Bora ungenifuata pm ukaniambia nisitie mchanga kwenye kitumbua chako kuliko kukimbilia matusi.Hii ni jf jukwaa huru.Nyie
Huwezi kutapeli watu halafu nikuangalie hivi hivi.
Acha ujinga..wana jf kuweni makini na hawa matapeli
Acha ujinga exposing haha haha nenda kigoma ujiji waambie namtaka Mwinyi mbegu Mtt wa marehemu Mzee NjembaWho are you trying to fool.here? Tarehe 24 /11/2007 ilikuwa Jumamosi na sio Alhamisi kama unavyo jidanganya ukidhani utawashawishi watu wakufuate ...Narudia tena acha ujinga mkuu..acha ulaghai na utapeli..Juma Njemba alifariki mwaka 2001 na aliyerithi mikoba yake alikufa muda mfupi baada ya arobaini ya Juma Njemba ...Acha utapeli mkuu I will expose u
Ukimaliza kuropoka uje utuambie nani aliyetapeliwa Kama si wewe unayetafuta credibility kwa kujifanya unaifahamu historia ya Chief njemba na usijue lolote kumuhusuNyie
Huwezi kutapeli watu halafu nikuangalie hivi hivi.
Acha ujinga..wana jf kuweni makini na hawa matapeli
Huyu unayemuamini Leo kaleta uongo1. mkuu, hapo nilipo bold na kupigia mstari nikuwa,"sio watu wakipeleka pungufu" ila ni wakileta pungufu?
kwa sentensi hiyo inaonyesha au umeonyesha kwa mausudi wewe ni sehem ya familia au ni mtoto wake?
2. Kama binti yake wa mwisho alizaliwa 1994, kwahiyo most likely alimzaa binti huyo yeye akiwa na umri wa miaka 76 au zaidi right? Na mama wa huyu binti kuna uwezekano yupo hai bado, maana inaonyesha hakuwa wa makamo sana.
3. kwa namna unavyo andika, hivi wewe sio kweli yule mwanaye ambaye ni mwandishi wa habari?
BTW, mleta uzi #Likud ni mtu ambaye ana heshima sana hapa jukwaani na, binafsi huwa sinaga mashaka naye kabisa pamoja na nduguye #barafu
Sijaona tofauti kubwa sana baina yenu juu ya Mzee Juma Njemba, kwani wewe AbuFizzer umeeleza katika kuigamia only positive side yake, jambo ambalo yeyote angefanya katika kuitetea familia yake......na #Likud ameeleza the otherside ya coin ulioishika!
Kwasababu wanajifanyanga wanatubania sana hizo makitu.. tehteehhhMkuu umetisha.
Umenikumbusha mbali sana kuna siku nilikutana naye mitaa ya ujiji kagera pale niliruka nyumba moja ya nyasi hivi speed 120km/hr
Kutapeli watu mwisho Instagram..eti mjukuu wake...Acha ujinga exposing haha haha nenda kigoma ujiji waambie namtaka Mwinyi mbegu Mtt wa marehemu Mzee Njemba
Unadhani sote tuna njaaa umekazana kwamba kunataka kufanywa utapeli kwa kukupinga ktk uongo wako ni wazi wewe ndiye unataka kutapeli watu hapa tulia dawa ikuingie
Humjui Jumaa njemba wala Bugoi huijui hata punje
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Juma Njemba, atakuwa flan anazungumziwa hapa. Lugha ya picha hii
Umeumbuka mkuuu umebaki kukalia ncha nyembamba ya kujiaminiKutapeli watu mwisho Instagram..eti mjukuu wake...
Huyo huyo. Naomba ABCD zakeHuyu ni bint Rukungu aliishi Rubuga Ujiji. Kigoma
Haya ndio mambo tunayo yataka mkuu ..shusha nondo na Mimi badae nitashusha zangu..Habari za Juma Njemba especially his dark side ni kweli tena kuna mengine LIKUD hajayasema, yeye ulikuwa ukifika unaeleza shida yako tu kama mtu humtaki, first of all anakuuliza unataka nn, unamwambia muue, anakujibu sasa hivi au afe taratibu ukisema now yan biashara imeisha, ndo unakuwa umekwenda na maji. next time nitaeleza habari zingine haswa za binti Rukungu na wengine wa kitambo hicho though am not interested.
Enzi hizo za kigoma dawa za mazindiko zilikuwa nyingi mnoo, kuna vitu ukiambiwa utadhani ni stori kumbe ni kweli.
ushawahi kusikia dawa za kukwepa sumu?, mfano mtu akikuwekea sumu kwenye ugali yani pindi anapokuletea ugali mezani, ugali hupasuka katikati vipande kama vinne au zaidi, kama ameweka kwenye glass la maji basi jua glass itapasuka pindi unapotaka kumpa mnywaji.
ushawahi sikia kuhusu dawa ya kukwepa ajali? yani machale yanakucheza kuwa kuna ajali mbele yani kitendo cha wewe kushuka tu gari halifiki hata mita mia ajali hutokea.
kuna meengi saana, though kuhusu mrithi wa Juma Njemba sina hakika nayo hata akiwepo basi atakuwa hana nguvu .
Pamoja sana.halafu sur name yako unajua ni jina kubwa sana katika ulimwengu wa waganga na wachawi? Unamjua ndege wa porini anaitwa Msese ? Unajua kuhusu matumizi yake ? Ukoo wenu MNA uhusiano wa kiroho na huyo ndege au ni jina tu? MNA miiko YOYOTE mnayo ifuata kuhusu huyo ndege?mkuu nisome vizuri, mimi huwa sijawahi kuwa na mashaka juu yako