proto cute
Senior Member
- Apr 22, 2015
- 191
- 112
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniMuongo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniMuongo!
Duh emu tililikaTupe na za yule Mzee wa kagunga aliekuwa ikifika usiku anatandika mkeka juu ya ziwa Tanganyika anakwenda kulala Burundi.
Tililika mkuuMwaka 2001 huo nikiwa naishi kibondo,kuna siku nikatumwa kwenda kasulu kutoa photocopy na kuprint document za ofisini.nilikuwa toyota landcruza GX za UN kama mnakumbuka kipindi hicho kulikuwa bado na wakimbizi kwenye makambi kama nyarugusu.
Asubuhi mapema nikaondoka nikiwa na jamaa mwingine.
Kufika kasulu nikanunua na mananasi ya kutosha waliopo kipande hio watajua.mwidiweee salam niliipata sana wakati narudi.
Kufika njiani nikamkuta jamaa flani huwa namuona sana pale mjini kibondo akiwa peke yake porini!nikasimama ili nimpe lift akagoma.
Anyway mi nakachapa mwendo barabara ilikuwa rafu rodi lakini kwa GX nilitembea hadi spidi 140.
Kufika kibondo namkuta jamaa kafika kitambo anakunywa kahawa anacheza draft.sikuamini ilibidi nimtafute anieleze alifikaje kabla ya gari na hakukuwa na gari lilinipita njia??!!mambo aliyoniambia hadi siyaamini
Pepe kale aliitwa kabasele yampanyaPepe Kalle
nataka nikuulize njemba alikuwa muuaji au hukufanya shughuli za matibabu ya kuua?Jamaa yupo sahihi kuliko ww...hujui lolote kuhusu juma njemba...Sema tu umeleta mada hapa ili kitafuta credibility zakipumbavu
UNAJARIBU KUFICHA UKWELI LAKINI BABA YAKO NJEMBA ALIKUWA MCHAWI MGANGA NA ALIUA WATU. AWE AMEUA KWA MATAKWA YA MTEJA AU KAMA SEHEMU YA MATIBABU LAKINI NI MUUAJI TU.Kwenye issue ya koti ofisini kuna alilosema la kweli na lipo hakusema kweli nenda kasome komenti yangu vema.
Kweli ni kukamatwa kwa mwanae kwa kutuhumiwa kuzurura
Isiyo kweli ni kutundikwa kwa koti
Zaidi issue hiyo ya koti Ujiji ni maarufu sana kwa wazee Zaidi ya mmoja kiasi watu walishaamini kuwa hizo ni ngano zinazohusishwa na watu Fulani kuwakuza au kuwapa utajo kuwa ni wenye nguvu za miujiza.
Alifanya nini ?Bila kumsahau Mzee Kitenge Babu yale na Maulid Kitenge,alikuwa ni shida.
hata sheikh Yahya alifyekwa baada ya wakristo kumlilia MUNGU, Lakini haya ni mambo ya rohoniSio muhimu kujua jina, ila kama we ni mtu wake wa karibu lazima unaelewa kuwa alikufa kwa PIGO, pigo kuu zaidi ya uchawi, hakuna mchawi ambaye angeweza kumgusa, hapo ndipo alipotokea Mungu aliyempiga mapigo kumi ya Kimisri ghafra, Mungu wa Israel, ni baada ya Mtumishi kupunga mikono juu...
Waweza toa angalau mwanga kidogo namna yalivyofanyika hayo mazindiko hadi milango mitatu ikafikiwa??mimi niluwahi kwenda kwa huyo mzee lakini niliogopa kumalizia zindiko la milango saba ya ziwa tanganyika, nikaondoka kwa kutoroka tukiwa mlango wa tatu , nadhani umenikumbusha mbali mno wala hujakosea kitu.
Nakumbuka visa viwil vya huyu bwana wakati nipo kigoma ni pale alipomtuma mwanake akanunue migebuka soko la buzeba zeba then askari wakamkamata kwa uzururaji,mzee baada ya kuskia akamfata RPC,nakumbuka alikwa ni mgeni but mjeda kufika tu ofisini akaliweka koti lake kwenye ukuta bila kuwepo na msumari then akamwambia nmekuletea kapu langu hil ukaninunulie mboga maana nnayemtuma mmemkamata,ndani ya 20minutes dogo aliachiwa na kupelekwa na escort ya polisi sokoni hadi kwao
Watoto wa juma njemba wamepewa taarifa wamekuja kwenye huu uzi... Nmesoma toka page 1 kuna watu kama si watoto wake basi ni ndugu wa karibu.ndugu zake wa namna mbalimbali.
Huenda ukafuatwa utaje hiyo top 20 rank.mi kazi yangu kutoa ushahidi niliouona kikweli bwana likud yuko sahihi kuwa hakuna mwenye uwezo ule tena na hilo nimesikia kwa nduguze wenyewe narudia niliishi kigoma 2 years ,ila wajukuu zake pia waganga ila tukirank top 20 ya waganga noma kigoma hao wajukuu hamna kitu hii aliniambia rafiki yangu marehemu kassim said tajiri wa mabot miaka hiyo so msimfate yoyote inbox hata mm mtaliwa sana
Ungemega kidogo namna alivyopata ilmu yake.Kuna Mzee alikuwa akisimulia jinsi juma njemba alivyopata elimu ile na wenzake na mwalimu wao ..aisee ujiji ilitisha Ni hatari
Sasa kwanini unadhani unafaa tukuamini?
1.Umefail kwny tarehe yake ya kufa na kuzikwa
2. Ulichioweza ni kuleta majina na idadi ya familia ya huyo Juma, ambayo ni ngumu kwa yyte humu ku verify kama usemacho ni kweli.
3. Umejikita only kuongea positive side bila ya angalau kijihusisha na anacho kiongea mleta mada na member wengine humu waliofika kilingeni kwake na kukubaliana na Likud
4. unakanusha tu anachosema Likud basi, yaani kama kuna kitu au jambo hutaki lisimwe
Fanya dokezo la kuibiwa mwenge wa uhuru kiongoziHata mwambao Ziwa upande wa Rukwa nako kuna mafundi wengi balaa ambao wengi ni hybrid ya kalemii(DRC) na ufipa,ukiipataa hii hata ni hatari
Ile story ya kuiba mwenge wa UHURU nayo ushawahi isikia mkuu, Na kuna ile ya mwewe kubeba ng'ombe japo siiamini sana,