Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Dodoma tuwaone:
1. Supika- amtwanga gongo mpinzani wake mpaka kazimia, kazuia matibabu ya TL ambayo ni haki yake, kafanya bunge liwe idara ya ccm.
2. Lusinde- standard 7, hupeleka taarabu bungeni.
3. Juma Nkamia: Anaomba uteuzi maana serikali iliyopita alikuwa naibu waziri, ametumwa na amekubali kutumika.
Anayechochea uvunjaji wa Katiba ya nchi tulitarajia awe mahabusu.
 
Mkamia ni kama amerukwa na akili tu. Labda hakutegemea siku moja kuja kuwapangisha UN ile nyumba yake ya pale Dodoma.
Hivyo yote ayafanyayo ni katika hali ya kupigwa butwaa tu...au akiamini analipa fadhila
Hahahaha

Halafu inaonekana alikuwa hajui hata ujerumaji iko bara gani
 
Watu wote ama vyombo vya habari vinavyooongea kitu ambacho rais hapendi wanakamatwa na hata vyombo vingine vya habari kufungiwa. Ukiona hao wanaolazimisha rais aongezewe muda na hawachukuliwi hatua wakati rais ameshatangaza inabidi ujiongeze.
Dah! Ndipo tulipofika hapo?
 
Umesikia kauli yake kuhusu vyuma kukaza kutaka wanaotoa kauli hii kuamrisha wakamatwe, lakini cha ajabu hawezi kusema wanaosema aongezewe muda wakamatwe!!! Wanafiki ndivyo walivyo Mkuu!
Muda mtamu....
 
Reactions: BAK
na wewe mtoa mada ni shit hole ...maana ccm sio chama nikikund cha wahuni.
 
"Nenda kawaambie,nachukizwa na mijadala inayoendelea ya kutaka niongezewe muda wa kukaa madarakani"-JPM
 
Wachukuliwe kama wachochez maana angkua ukawa angeshafatwa na smg
 
Mlimsikia na yule mwingine anayejiita mjita wa Musoma? Sijawahi kumsikia mjita mwenye akili punfufu kama huyo jamaa. Wajita ninaowajua mimi ni wise and principled
 
Unawez ukawa wewe ndio Nkamia mwenyewe.
Ukikamia issue uwe na akili basi ya ku present.
~Huna data za kuback up mawazo hayo yako ya chumbani kwako.
~Ndio maana watu wnahisi umetumwa.
~Hela za uchaguzi ni kiasi gani,
~wananchi wangapi wana kuunga mkono
~Hilo wazo lako limeibuliwa kivipi hasa, au ni wazo la mkeo?

Usitupe ujinga wa kuwa hili ni swali la kisiasa, huku ukilisha wnanchi ujinga utokanao na ubinafsi.

Anza na jimboni kwako uzunguke kudai ukae miaka mitano mingine, pengine wananchi jimboni kwako watakuelewa.

Twende mbali zaidi.
Kwa mtu makini, mwenye kichwa kilicho sawasawa angeanza na katiba mpya.
Katiba ambayo inaweka bayana uwajibikaji wa Rais na wabunge kwa wananchi, pindipo kuna jinai au poor perfomance.
Kwa akili duni ya Nkamia hilo wala halizungumziwi.
Kwako issue ni kuongeza ulaji tu.
Mtu mwenye kichwa kilichoenda shule, angedai si katiba mpya tu bali na kuimarisha taasisi za dola zisitegemee nani yupo madarakani, bali zifanye kazi kwa maadili na udhabiti wa kimfumo.

Mkapa alijitahidi kstika hilo, alileta TANROADS na TRA, na sasa Magufuli kaleta TARURA.

Hiyo ndio mifumo dhabiti inayoendelea hata kama Marais wake watapita.

Nkamia inabidi si tu aende shule, bali awe na uwezo wa kiakili kuelewa mantiki hiyo.
 
Wadau ni matumaini yangu kuwa sote tumeamka salama na tunajiandaa na majukumu yetu ya kila siku.

Nimeona leo nitoe mawazo yangu juu ya huu mpango uliosukwa na kina Polepole na chama chake wa kudai Rais aongezewe muda wa kuongoza kutoka miaka 5 mpaka miaka 7.

Huu mpango ni mpango wa chama cha mapinduzi uliosukwa na baadhi ya viongozi wastaafu na walioko madarakani na kuwatumia watu baki ambao ni wanachama wa CCM kuusema kwa watu na mbele ya waandishi wa habari ili waweze kuona upepo utakuwaje.

Watu kama Musiba, Nkamia and co ni baadhi ya waliokubali kutumiwa na ccm kueneza huo ujinga wa mtu kutaka kuibadilisha katiba kwa masrahi yake.

Huku Polepole akiwa anajifanya kuwa Rais hapendezwi na huo mjadala ili watu wenye akili chache wawaamini kwa hayo maneno yao.

Tunajua mnao wabunge wengi wanaoweza kufanya mtakavyo lakini kwa hili Tanzania itamwaga damu na huyo mtu wenu ndo utakuwa mwisho wake.

Msitufanye watanzania ni mazuzu kiasi hicho.

Mwambie ATUBU
 
Gharama si hoja hata kidogo, ingekuwa hoja wabunge/madiwani wasingehongwa halafu uchaguzi mwingine wakati ni gharama. Muda upunguzwe iwe miaka 4
 
Mkuu tatizo siyo gharama za uchaguzi wala kipindi cha kuongoza hata akipewa miaka 50 kama hawezi hawezi tu, kinachotakiwa ni kuimarisha institutions ikiwemo ya urais, rais yeyote akiimarisha institutions hata akiondoka baada ya miaka mitano anayemfuata (kama taasisi) ataendeleza alipoishia.
 
Ha ha ha!
Nimesoma mchango wako mkuu nimecheka sana.
Kimsingi sikubaliani nayo moja kwa moja!
Hapo juu nimeeleza udhaifu wa argument ya huyu Nkamia.
Mimi simfahamu kabisa lakini kwa argument zake ni dhahiri hakwenda shule ya maana, pengine zile waswahili huita za kuunga unga.

Mtu ambaye hajui, na hajui kuwa hajui~brain ina void ya learned information.
Mtu huyo anajionyesha wazi katika umbo la Nkamia.
 
Katiba inaruhusu uhuru wa kutoa maoni.. na kisha kumbuka tunatofautiana namna ya kutetea hoja ama maoni.yetu
ndio maana akili zako ama uwezo wako unaweza usifanane na wa mtu mwingine haijalishi una busara ama mpumbavu !
kamati kùu ya chadema imetoa maelezo yapi kwa Lowassa? Na je hayo maagizo yana hekima au weledi wa kisiasa? Jifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine itakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…