Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Cha ajabu utafikiri siyo mwandishi wa habari ameidharirisha sana tasnia ya habari nchini! Kuna mwk Harrison mwakyembe akiwa mbunge akichangia bungeni alisema waandishi wa hbr wakajiendeleze kielimu walitukana na kulalamika sana lkn matokeo yake ndo haya haiui anachokipigania ama anachokamini! Pimba mtupu!
 
Siongei na mbwa,naongea na mwenye mbwa hiyo ni baadhi ya maneno yake ya kifedhuli kabisa,Nkamia is such a losser
 
Unategemea mtu alikuwa anatangaza ..kaseja na mpira,,, atakuwa timamu? Mihemuko .com
 
Hakuna cha IQ hapo mkuu. Huyu ni mjumbe tu katumwa na chama chake.
 
Hata jana jioni alipokuwa kwenye mjadala wa BBC jioni hakuwa na sababu yoyote ya msingi zaidi ya kuzunguka mbuyu. Wananchi wake ni kuwaonea huruma hakika
 
Wakati mwingine ukiitaja Afrika unaweza ukawaza mambo mengi sana.
 
Siasa na unafiki ni chanda na pete!Kuna Mkuu mmoja alikuwa kwenye tume katiba ya Warioba ukimsikiliza kauli zake baada ya kuula kijanini huwezi amini kama ni yeye.Kwa IQ yangu ndogo huo ni mkakati.
 

NUMBER ONE TANZANIAN ENEMY NI CCM. KAMA WATANZANIA HAWAJAWEZA IMALIZA HII, MAADUA WAKUU (UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI) ALIO TUAMBIA MWALIMU NI NDOTO TU KUPAMBANA NAYO.
 
Damu inamwagwa na nani na ya nani? Nilifikiri unataka maoni yetu juu ya ama inafaa au haifai kuwa na muhula wa miaka saba au kubaki na mihula tuliyonayo na badala yake unatwambia habari za kumwaga damu? Ulaaniwe!!!
 
Wewe ndiye uliyeongea la maana! Urais uwe ni taasisi. Na nadhani kwa tulipofikia, katiba mpya ni muhimu kwa hilo. Ingawa ya serikali mbili ina walakini ila ya tatu ni mbaya zaidi, natamani ya moja. Mengine yote Yanaweza yakawa Kivyovyote vile.
 

Usihamasishe kumwaga damu kwa mambo yasiyokuwepo.
 
eeh magufuli anajifanya hataki huku wanakaa kona anawatanguliza mapomole na misukule iende kutoa povu mitanandaoni na kwenye telepicha wapate kuwapumbaza wananchi lakin mpango wa makufull kujiongezea miaka uko palepale hilo mtambue siku likiingia bunge kama uganda ilivyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…