Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Najikaribisha kwa akina Nape na Makamba
 
Mtoto wa kiume aidha unamwambia mtu mbele ya uso wake au uchague kukaa kimya.

Lakini kuongea wakati mtu hayupo hizo ni tabia za kike.

Lissu mwanaume hata kama unakubaliana au ukubaliane nae.
 
Na huu ujumbe umfikie saa100 na chawa wake
 
uchawa ndipo ulipoanza
 
Yapi? Kuua, kutesa, kitojali utu. Kitopnadish mishahara, kutoajiri, kuua biashara ndo mambo makubwa hayo
Naona shutuma zenu ni zilezile zisizokuwa na mashiko wala facts za kueleweka.

Wenye akili tumejifunza kupitia kwa Lowasa.
 
Naona shutuma zenu ni zilezile zisizokuwa na mashiko wala facts za kueleweka.

Wenye akili tumejifunza kupitia kwa Lowasa.
Kwani kipindi kile serikalo haikuwepo? Serikali kazi yake na kuchunguza matukio kama hayo. Unless kama hakujua kazi yake ama alipata urais kwa bahati mbaya
 
Saa nyingine mtu ni bora afunge domo lake afiche ujinga wake.
 
Ni mtu mnafiki na mjinga tu ndio anaweza kufikiri kuna rais hapendi sifa. mwenyewe hapo kama mwanasiasa anatafuta sifa. Hapo kwa ujinga anafikiri kwa kauli kama hiyo mama atampenda. Huenda anajua ya moyoni kwa mama..Mjinga sana huyu mtu.
 
Wanasiasa wanajijali, hawajali kuhusu taifa.

Hapo kaishaumiza wangapi? Wachawi nchi hii nao ni kenge, hawana faida na taifa, kenge kama hawa ni kupiga radi moja tu, kesho saa 7 tunazika.
 
Jiwe alikuwa shetani mwenye umbo la binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…