Kauli ya kuudhi sana.Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
Lakini naona umeamua kumtumia huyo.
Kuna kauli ngapi za watu kama hao hao ndani ya CCM hadi hii leo?
Akina Kitila Mkumbo; Kafulila; Kinana; Kalamaganda na wengine wengi sana ambao nyimbo yao mashuhuri wakati huu ni "Nani kama Mama."