Mkuu soma comment yangu namba #152. Utanielewa.
Sintapinga mabaya yake kama kutakuwa na facts za kueleweka. Hii ya kukubali kumshutumu mtu bila kuwa na uhakika wa 100 kwa 100 juu ya kile anachoshutumiwa mtu, ndo kilipelekea Lowasa adhalilishwe, atukanwe, achekwe, aonekane fisadi papa na mtu asiefaa katika jamii kwa muda wa miaka takribani 7.
Toka 2008 hadi 2015 alipopewa tiketi ya kugombea uraisi na wale wale waliomdhalilisha, ndo tulipokuja kugundua au kuambiwa kuwa jamaa (Lowasa) hakuwa fisadi kama walivyokuwa wanasema.
So i learnt from there. Siwezi kukubali kila ninachosikia unless mtu anipe prove ya kueleweka katika akili yangu.