Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
huyo ni mbunge wa wapi kwani?

na huyo alie muita mwenzie mpumbavu yeye ana nini cha ziada kwa mfano, kama sio nae ana hali hiyo hiyo tu aliyomwita mwenzie 🐒
 
na tukisema wafuasi wa CCM ni nyumbu na wako extremely selfish huwa mnakataa, sasa huyu yuko tayari wengine waumizwe as far as watoto wake watakwenda shule. "Pumbufu" kabisa
Wafuasi wa ccm ni chawa, nyumbu ni wafuasi wa chadema bwashee.
 
Mbona?????!

Jizungumzie wewe. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Simple
Nikishajizungumzia mimi halafu ndio nini? Hata mimi nikisema kwamba ningefanya kama alivyofanya bado hiyo haina maana kuwa hakuna njia nyengine na ndio maana nikasema wapo watu ambao wao katika mazingira kama hayo hawakujali matumbo yao na vyeo vyao wakashikilia misimamo yao.

Kwahiyo sio suala la mimi binafsi bali kipi sahihi? Huyo jamaa pamoja na kufanya hivyo alivyofanya ila hakuna alichopata.
 
Back
Top Bottom