Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
na tukisema wafuasi wa CCM ni nyumbu na wako extremely selfish huwa mnakataa, sasa huyu yuko tayari wengine waumizwe as far as watoto wake watakwenda shule. "Pumbufu" kabisa
Ndugu yangu ni kweli kabisa zaidi ya 80% ya wana ccm wako hivyo mifano ni mingi Sana ya wasomi wanaojifyatua akili akishapata cheo na kubaki mtupu. Prf Kabadi, PhD kituko, akina Mwakiyemba na wengine wengi. Ila akishaondolewa anarudisha akili yake
 
Huyu Juma ni alhaj ujue

Sasa Mwislamu gani muoga hivi?!! ๐Ÿ˜‚
Swali langu kwako ni hili;

Jiweke kwenye nafasi ya Nkamia, ungekubali kupigwa chini uukose mshara na mapesa ya nafasi uliyokuwa nayo?

Tuacheni unafiki.
 
Kama kina Profesa Kabudi walimuita ni Mungu kina Shekhe wa mchongo Salum walimuita zaidi ya Yesu na Muhamad iweje ye asimpe kichwa cha kustahili kukaa madarakani zaidi ?? Kila mtu alimsifu jiwe kwa namna yake na alipeta !
Hivo Nkamia akaingia na gia ya kumuongezea miaka saba zaidi ! Sasa mlitaka afanyaje ?? acheni ujinga mfalme akitaka sifa hupewa ! Usimpe sifa we unajipenda ?? Namsifu Nkamia kukiri hadharani ukweli huo ndio uanaume !
 
Hizo ndio tabia halisi za miccm yote. Ndio maana hakuna kiongozi yoyote wa ccm awe anaongea na vyombo vya habari bila kumsifia rais. Mpaka kero. Sidhani kama rais nae anafurahia tu hata sifa za uongo.

Darasa limejengwa labda na wananchi. Utasikia jitihada hizi ni za rais. Daaah...! Ni aibu sana hii nchii
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema ๐Ÿ˜ƒ
Kwa kauli hii maana yake tumbo kwanza Taifa baadae, huyu ni mtu hatari sana kwa maslahi ya Taifa, Mangungo wa msowero unaweza kumsamehe kwa kutojua alichokuwa anasaini, lakini mtu kama Nkamia hafai kwa kuwa kwenye kila kitu ataamua kwa kuangalia tumbo lake.
 
Na akisifiwa alikuwa anahemka na kujaa upepo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kana kwamba haitoshi yule Jamaa alikuwa anaamini yeye ndio ana akili kuliko wote kumbe wajanja wanacheza na saikolojia yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kuliko nyie Nusu Degree ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema ๐Ÿ˜ƒ
Kauli si ya kipambavu kama alivyo mpumbavu Lema
 
Swali langu kwako ni hili;

Jiweke kwenye nafasi ya Nkamia, ungekubali kupigwa chini uukose mshara na mapesa ya nafasi uliyokuwa nayo?

Tuacheni unafiki.
Kwani sasa ana nafasi gani?

Wanawe hawaendi Shule?

Juma ni mswahili sana Hata pale Simba alikuwaga anamsifia sana Azim

Jamaa ana Ukike mwingi ๐Ÿผ
 
Kwa hiyo ina maana hata huyu wa sasa, wanampa ลŸifa ambazo sio za ukweli, ili watoto wao waende shule.
Watoto wenyewe mwisho wa siku wanaishia kua Mashoga au Mateja,laana ni laana tu hata kama una vaa suti!!
 
Uliwahi ona Samia anajaa gesi kama yule Jamaa yenu ropo ropo? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ngoja Mtikila amalize phase 1

Juma tumekuwa naye sana pale Makolo akiwa Mwenezi

Jamaa ana Ukike mwingi sana sema tu Azim ni mchamungu

Wewe Msafwa ya mjini huyajui ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom