Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hauwezi kujua… hata wa Magufuli walikuwa wapya, na tulijua wa naongea kWa Upendo - sasa hayupo, na wao hawako kwenye system, sasa wanaongea ukweli wao. Hivyo kWa huyu wa sasa, Tutajua ukweli akishatoka madarakani.
Hii ni sawa na Mwanamke akisha achika kwenye Ndoa yake, ndiyo utaanza kusikia habari za kibamia!![emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Apumzike kwa amani huko aliko MAGUFULI
Ila alipenda sana sifa na alitaka tumwabudu na kumsujudia.....ndio maana wengine walimfananisha na YESU
Huu ujinga wa uchawa na kusifia sifia aliuleta huyu Dikteta Magufuli

Kila mara nasema hata afanye mabaya kiasi gani SAMIA ataendelea kuwa rais bora maradufu kuliko magufuli
Magufuli alivuka mipaka akitutaka tumwone yeye ndiye MUNGU
 
Mnajitahidi sana kumchafua marehemu lakini mnashidwa.
Poleni sana
Ni Tanzania pekee yenye watu wanaopigana na maiti (marehemu)
Mbona kama taifa tumeaminishwa Idd Amin alikuwa mtu mbaya na mpaka sasa tunaaminishwa hivyo.?
 
na tukisema wafuasi wa CCM ni nyumbu na wako extremely selfish huwa mnakataa, sasa huyu yuko tayari wengine waumizwe as far as watoto wake watakwenda shule. "Pumbufu" kabisa
Usichukulie tukio hili kama sababu ya kuwakaumu wanachama wote wa CCM. Hakuna kusanyiko lolote la kisiasa lenye mtazamo mmoja kwa kla jambo.. Hata huko upinzani kuna wenye tabia kama hizo za Nkamia. Katika chama cha siasa kuna moderates, extreme right, extreme keft nk.

Kukusaidia tu wako wana CCM wengi wanaochukia rushwa, ufisadi na viongozi kuabudiwa na naovu mengine. Juzi umemsikia Lissu akilalamika kuhusu rushwa katika chaguzi za CHADEMA.
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Ukienda mbali zaidi huenda Magufuli angekuwa mwenyeji wa pwani, Nkamia ange offer hata wowowo ili kunusuru kibarua chake.

Nchi ina wanasiasa malaya malaya by J.K. Nyerere
 
Wengi walioko CCM wako hapo kutumikia matumbo yako
Mbona hata kwenye taasisi za Umma wapo,wao wanaangalia shida zao kwanza,hata ikibidi wwe unyongwe ili yeye aishi vizuri, hilo halina shida kwake,na atashiriki kwenye dhambi!!
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Huyu ni miongoni mwa Wapuuzi wachache ambao wanaamini kwamba ukimtukana Magufuli unatunukiwa cheo na Hii Serikali ya Samia
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Hata hawa wanaosifia sana regime hii nao ni Neo-Nkamia
 
Na akisifiwa alikuwa anahemka na kujaa upepo 😁😁😁😁

Kana kwamba haitoshi yule Jamaa alikuwa anaamini yeye ndio ana akili kuliko wote kumbe wajanja wanacheza na saikolojia yake 🤣🤣🤣🤣
Kama wewe unavyofanya kwa Samia, et Samia ndio Rais bora na kafanya makubwa kuliko watangulizi wake.😂😂😂
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Naona umesahau kama hao ni CCM
 
Back
Top Bottom