kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Mnafiki tu kama wengine. Walimsifu kwa uchawa wao kwani kwa tabia ni watu wanafiki wabinafsi. Wapi magufuli aliomba mtu kumsifia bure au kijinga. Mwenyewe hakupenda sifa za kijinga. Wapo walimkumbusha siku yake ya kuzaliwa kujipendekeza na kutegemea afanye sherehe wapate kula akawatolea nje. Sasa mbona wanamsifu mama uongo mwingi tu. Wapi mama kawaomba sifa za kijinga na siku hayuko watasema mama alikua anapenda sifa. Unafiki mkubwa kwa sababu hakuna mwanasiasa duniani hapendi sifa. Leo hayupo usijipendekeze kwa aliyepo eti Magufuli alipenda sifa. kwanza una uhakika gani mama anakufurahia kwa kuonesha ubaya wako kwa mtangulizi wake kama sio wewe ni mtu mjinga tu.Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
View attachment 2987570
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema 😃