Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Ingekuwa wewe kwenye nafasi yake ungefanyaje?
 
Watu dizaini ya kina Mkamia wamejaa katika serikali ya chama Dola kongwe kwa jina chama cha CCM na wasifiaji bungeni.

Hawajawahi kukosoa wao ni kusifia, kuimba na kusujudu mkubwa wao hata akikosea kuuza nchi au kusita kufanya marekebisho ya katiba.

Kwao uzalendo wanatafsiri ni kumpamba mkubwa wakati uzalendo uhalisi ni kwa nchi na ndiyo maana kiongozi akibadilika nao hubadilisha upepo.

Wangekuwa wazalendo kwa nchi basi kubadili misimamo ingekuwa endelevu, gonjwa hili limewakumba hadi wasomi maprofesa wanasiasa na hata wasomi wa ngazi ya kati waliopo ndani ya bunge na serikali awamu ya 5 na sasa awamu ya 6.
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Mnajitahidi sana kumchafua marehemu lakini mnashidwa.
Poleni sana
Ni Tanzania pekee yenye watu wanaopigana na maiti (marehemu)
 
Back
Top Bottom