Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Ni kweli, wao hutumia fedha zao kufadhili mpira wa miguu tuu, huku watu wakifa vijijini kwa kukosa huduma Bora za afya na wengine wanabaki kwenye lindi la umaskini kwa kukosa elimu bora
Huo huo Mpira wa miguu umeajiri watoto wa mamantilie wanapata riziki kwenye familia zao hakuna mtoto wa tajiri mcheza Mpira kwa hiyo anasaidia jamii kupitia corporate social responsibility.....
 
Nmecheka sana mzee 🤣🤣🤣
 
Baadhi ya kauli ya ambao hatujapata pesa ..
1.pesa inanunua nyumba ila pesa hainunui usingizi
2.Hata uwe na mali kiasi gani hutazikwa nayo
3.Pesa inanunua chakula ila hainunui hamu ya kula
HAYA TUENDELEZE ZINGINE KWA COMMENT
Pesa itanunua jeneza ila sio wabeba jeneza
 
Tukiweka matani pembeni kuna baadhi ya nyumba za matajiri zinalindwa na polisi kabisa achana na kampuni za ulinzi
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…