Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Ningekuwa na hela kama yeye ningewapanga sana hawa Chuchu konzi

Kila weekend kama siyo Maldives basi Copa Cabbana.

Kwanza ningeishije Tanzania?
Nisingeweza kulala na mifugo mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu wallah.
 
Sawa ila aache wivu wa kitoto kwenye biashara
 
Ukiwa na pesa hata baharini unajenga nyumba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu tamani tu, kutamani mafanikio ni chachu ya maendeleo hata kama hutamfikia lakini kuna hatua utapiga. Jamii isiyo na tamaa tunawaona maisha yao, hohehahe na wameridhika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…