chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jan 26, 2025 #1 Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 26, 2025 #2 Inaskitisha sana... Cc: Mahondaw
Lyaka Mlima Jr JF-Expert Member Joined Mar 24, 2020 Posts 361 Reaction score 521 Jan 26, 2025 #3 wa kumzuia ni akina nani sasa? wote wanafanana na tabia.