Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Mbona hizo jumuia hatuzioni kwenye maswala kama ya mauaji ya Raia kule Syria, kuuawa kwa Ghadafi, kuuwawa kwa Sadam, au uchaguzi wa marekani, wanatafuta nchi ambazo zimetulia tu na kutaka kuzivuruga. Shame on them. Hypocrites.
Kula like zangu kama yote.
 
Fuatilia vizuri kwenye mipango madhubuti ya maendeleo, nchi za kusini magharibi mwa Asia zimetusaidia nini. Anza na Qatar, Iran, Saudi Arabia, Kuwait, Lebanon, Bahrain, Emirates nk
Zaidi ya tende na mafuta ya mkopo tulipoishiwa na dollars, kingine kipi?
 
Uachage upumbavu wewe, nchi hii ni kubwa na muhimu kuliko ccm na chama chochote, endeleeni na maujinga yenu tu iko siku
 
Hao watu wa nje waishie huko huko na jumuia zao...

Mambo yetu watuachie wenyewe, tutayamaliza wenyewe...



Cc: mahondaw
 
Wewe! Shika adabu. Nyumbu wewe!!

Huu uzi ni wako, ni vyema ukauheshimu na sio ww kuwa sehemu ya matusi. Nina hakika matusi unayotoa watu wakiamua kuweka matusi humu utaukimbia. Kama umeishiwa hoja ni vyema ukae kimya watu waendelee kuchangia kuliko ww kugeuka sehemu ya kuupaka shombo uzi wako.
 
Uzi unavyoanza na unavyomaliza ni vitu viwili tofauti. Unaanza kwa kung'ata unamaliza kwa kupuliza. Andika uzi wenye rangi moja.
 
Hujielewi hata nukta
 
Hahaha kuna moja alikuwa anazunguzukia media za mabeberu kuichafua Tanzania

Je alifanikiwa?

“Anazunguzukia”?????

Mzee your Kiswahili is in ICU!

Malamba matako ya mawe hua ni majinga sana,shule yalifeli mamaaeeee!

Kiswahili hujui,Kiingereza hujui,lugha ya kabila lako hujui,bure kabisa!
 
Kushindwa kumuuwa TLisu sasa mnamsingizia kila kitu??
Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!!
Tanzania sio ufalme wala himaya ya kidikteta.
Hata SA makaburu walitoa uhuru itakua CCM na vibaraka wake!!
 
Nonsense let them do in their own countries.
Ni wendawazimu tu Leo wanadikiliza Susan's magaribi.
 
Tamko La Nini Sasa Hivi Wakati Uchaguzi Bado
Ccm Ipo Kwenye Wakati Mzuri Inangoja Wapinzani Warudi Iweke Mpira Kwapani!!!!
Ikimbie Nao Kwenye Goli La Upinzani Na Kushinda Kwa Kishindo


Chama Dola!!
Ccm Hoyee!!!
 
Kuna watu wanatamani hii nchi ichafuke siku moja! Ila watachafuka wao,Muda utasema.
 
Ndivyo walivyo madikteta wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…