Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #81
Mbona huna busara dogo?Wasenge wa Lumumba mmejaa humu mnaandika uku*a , ku****ee zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huna busara dogo?Wasenge wa Lumumba mmejaa humu mnaandika uku*a , ku****ee zenu
Kula like zangu kama yote.Mbona hizo jumuia hatuzioni kwenye maswala kama ya mauaji ya Raia kule Syria, kuuawa kwa Ghadafi, kuuwawa kwa Sadam, au uchaguzi wa marekani, wanatafuta nchi ambazo zimetulia tu na kutaka kuzivuruga. Shame on them. Hypocrites.
Zaidi ya tende na mafuta ya mkopo tulipoishiwa na dollars, kingine kipi?Fuatilia vizuri kwenye mipango madhubuti ya maendeleo, nchi za kusini magharibi mwa Asia zimetusaidia nini. Anza na Qatar, Iran, Saudi Arabia, Kuwait, Lebanon, Bahrain, Emirates nk
Nyumbu acheni propaganda, asilale kisa nyie?
Wewe! Shika adabu. Nyumbu wewe!!
Uzi unavyoanza na unavyomaliza ni vitu viwili tofauti. Unaanza kwa kung'ata unamaliza kwa kupuliza. Andika uzi wenye rangi moja.Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Nadhani Mwenyezi Mungu akimchoka mtu humuondolea ufahamu.Mwanaume wa shoka hatishwi na wazibuliwa mitaro
Hujielewi hata nuktaHalo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Siku gani hiyo?Uachage upumbavu wewe, nchi hii ni kubwa na muhimu kuliko ccm na chama chochote, endeleeni na maujinga yenu tu iko siku
Wewe endelea kutafuta kikiHujielewi hata nukta
Hahaha kuna moja alikuwa anazunguzukia media za mabeberu kuichafua Tanzania
Je alifanikiwa?
Nonsense let them do in their own countries.Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Ndivyo walivyo madikteta wote!Nchi inachafukaje? Athar za kuchafuka kwa nchi unazijua? Kwa taarifa yako haya makaburu walijenga kila kitu kama hayo Maleri lakini walichafuliwa kwa matendo ya kipuuzi kama anavyofanya Hugo kichaa
aliuza nyumba za umma kwa hawala zake na nduguze, anajifungia ndani na watengeneza ndege na kuagiza azitakazo we unajua 10% take no shilingi ngapi au mnadhani Hugo malaika?/mbona haya mile kivuko kibovu kilinunuliwa akiwa wazir na sasa kipo jeshini ? Mbona alijenga hotel I kulee. Chato na kujenga uwanja wa ndege na mbuga ili hotel I ipate wateja