Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Mdaharo uendelee. Kama watakohusika ni upande mmoja, jaribu kuuliza, nini hicho?
 
Yesu alikuwako kabla ya mitume wote
Yesu ndo aliumba wanadamubna vyote vilivyomo
Yesu ni Mungu
Hakuna mtume WA mwisho hizo ni story za kihuni
Yesu ndo Alfa na omega
Yaani mwanzo na mwisho.
Hakuna mtume atakuja baada ya yesu hao ni matapeli wakuitwa manabii na mitume wa uongo, na wanaashiria mwisho wa dunia
 
Wagalatia kwanini munateseka? kwani umelazimishwa kuhudhuria?
 
Kikubwa wale viherehere wa midahalo akina Mwakemwa, massage, simbaulanga wasiende huko na baadaye tv tunayolipia 28,000 Kila mwezi ituambie tunalipa hela ili watuenezee dini Yao?
 
Haiwezi Kutokea Kafiri Akaujua Uislam kuliko Mwislamu Ila Waislamu Wengi tu Wanaujua Ukristo Nje Ndani Wanaifahamu Bible Nje Ndani We huna lolote Hulijualo Huna Buhar Wala Bahari.
Mtu amjue Kristo ambayo ndiyo kweli yote halafu aje kuhangaika na huo upagani
 
Nitaoshangaa zaidi serikali iwapo itaruhusu huu mdahalo kufanyika. Kwasababu serikali yenyewe tuu haikubali mtu asiye ntanzania kuzungumzia mambo ya watanzania kana kwamba yanamuhusu
 
Mapepo yanatoka kwa jina la Yesu

Jaribu kwa jina la issa uone
 
Mkuu we acha tu
Ni kweli kuna watu wanaumia sana kuona watu wanaishi
 
Tuoneshe andiko linalo dhibitisha huo umungu wa Yesu tena kutoka kwenye biblia yenu.
Hizo hadithi za Yesu ni Mungu zili letwa na Paulo Yesu hajawahi kusema yeye ni Mungu.
 
Tuoneshe andiko linalo dhibitisha huo umungu wa Yesu tena kutoka kwenye biblia yenu.
Hizo hadithi za Yesu ni Mungu zili letwa na Paulo Yesu hajawahi kusema yeye ni Mungu.
Hata mtume pia hakuwah kuwa mtume ni mjanja mjanja tuuu yule
 
Tuoneshe andiko linalo dhibitisha huo umungu wa Yesu tena kutoka kwenye biblia yenu.
Hizo hadithi za Yesu ni Mungu zili letwa na Paulo Yesu hajawahi kusema yeye ni Mungu.
Yesu ni Mungu soma biblia, Mwanzo hadi Ufunuo
 
Una mtetea yesu ambae aweza kuji tetea mwenyewe¿
Nyie mbona mnamtetea mudi mudi alisema alipaaa kwenda mbingun ivii wewe na akili yako punda anawezaa paaa kwenda mbinguni kweli bila rocket 🚀
 
Acha kuwa insecure kajifunze upate madini mapya usibakie kukaririshwa tu maandiko ..acha undondocha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…