ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu mkuu, tunajua miaka ya nyuma midahalo haikuishia uwanjani, ilienda extreme hadi kufikia mauaji.Kweli kuna shida mahali kwa miafrika
Mtabaki nyuma kwa ujinga huu
Fanyeni kazi nyie
Maendeleo yanaletwa kwa kujituma nyie mara mwamposa sijui midahalo isiyo na tija kwenu
Hamstahili pole bali kuwahurumia tu
Uislamu unamkiri Yesu yeye ni masihi, ila hauamini kuwa yeye ni Mungu ama yeye alisurubiwa kwa dhambi zetu,Unataka kuniambia uislam unamkili Yesu kuwa ni mwokozi ambaye alikuja kuwakomboa wanadamu?
Uislamu kumuongelea Yesu ni jambo la kawaida kwasababu according to Islam Yesu amekuwa misrepresented na warumi (Christians) ... hatuwezi kuepuka hii mijadala, la msingi tu ni kwamba tujadili kwa hoja bila kutukanana. Nakubali wapo wahubiri wanafanya dhihaka badala ya kujadili, haya sio mafundisho ya kiislamu at all ... infact mtume Muhammad (SAW) amekataza explicitly not to mock/curse other religions gods.Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Yeees hawahangaiki na mambo madogo madogo huku hapo hapo ume comment kwenye uzi wa mkristo anayehangaika na mambo madogo madogo
Kama hawahangaiki na mambo madogo madogo mbona mmeposti humu? Si mngenyamaza tu!
Uislamu una taratibu, sheria na misingu yake.Mmemsakama sana Yesu Kristo mpaka pale mlipoambiwa ndo Issa wenu mkaanza kutapatapa na stories za kubumba.
Binti, mbona unakuwa na imani dhaifu kwa namna hii? Kosa halitumiki kuhalalisha kosa! Hata huyo Mungu unayejinasibu unamkamatia na kitabu chako ulichokikamatia nina amini hakuna mahala pamehalalishwa kwa hayo unayotumia kuhalalisha hoja.Papa akikohoa tu mnasingizia wakristo wote wamekohoa,akiongelea ushoga baaasiii kwenu burudani kusakama wakristo wote hamjali dhehebu wala itikadi yoyote,mnaunganisha tu. Mwamposa akifanya hiki au kile mnaanza masimango kwa wakristo
Suala siyo tatizo!Huyo masihi Issa sio Yesu, Waislamu Kwan mna matatizo gn ya uelewa?
Ni kweli uliyoyasemaNi aibu mkuu, tunajua miaka ya nyuma midahalo haikuishia uwanjani, ilienda extreme hadi kufikia mauaji.
Naamini kama viongozi wanaona. Wanajua watanzania hatuna ubaguzi wa kikabila wala kikanda, Ila kitu pekee kinachowafanya watu kuwa reckless extremist ni dini. Kwa hiyo hicho ni kitu ambacho kinatakiwa kuchukuliwa kwa delicacy yake.
Nimefuatilia historia za mauaji ya kimbari mengi, huwa yanaanza kwa ideologies ndogo ndogo baadae zinamea na kugeuka chuki na hiyo chuki ikikomaa kinachofuata huwa predictable.
Kwa hiyo huwa siungi mkono vitu ambavyo matokeo yake hujulikana japo kwa Tanzania ni viongozi wachache wenye uthubutu wa kutia neno lolote katika dini kwa kuhofia kukosa kura.
Siyo kila anayetaja Jina Kristo basi ni mkristo hapana. Wengine ni wafanyabiashara. Dhihaka na chuki havijengi. Usicheze na Jina la YESU hujuwi kesho yako. Na kilemba chako kichwani utapiga goti siku moja na kukiri kuwa yeye ndiye na hakuna wa kufananishwa nae.Ya kwamba nyinyi wakristo mnao nunua udongo na chumvi kwa laki moja na kutembea nao kwenye mikoba ili mtajirike bila kufanya kazi ndo mna akili kuwa zidi waisilam?😃😃😃.
Wakristu hatushindani na mtu waache waislamu washindane na yesu mwenyewe, yesu haitaji msaada wetu kumtetea dhidi ya wanaomkufuru tumwachie mungu Kwan yeye atawajibu! najua siku hyo watajikenya wenyewe afu watacheka sana lakin wanajipalia mkaa wenyewe! Haina haja ya mkristu kupigizana kelele na watu Hawa kwasabu wameshachagua njia zao na shingo zao wameshupaza....tusubir yesu atakapokuja kuwajibu! itoshe tu kuwapa tahadhari waaache kumkufuru kristu.Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Uislamu una taratibu, sheria na misingu yake.
Yesu au Issa mwana wa Mariam amezungumziwa kwenye Qur'an tangu karne ya 7. Qur'an imemzungumzia kama Mtume wa Mungu. Na Uislam unasema atakayemzungumzia vibaya mtume mmoja basi amekufurushi yale yote waliyokuja nayo Mitume ya Mungu yote.
Yaani ukimzungumzia vibaya Nabii Issa mwana wa Mariamu/Yesu basi umekufurisha mpaka aliyokuja nayo Mtume Muhammad.
Hiyo ni sehemu ya nguzo ya Imani ya Kiislamu. Na tunamini kaja na kitabu cha Mungu, nacho ni Injili. Huo ndiyo msingi wa Imani wa Kiislamu.
Hii ni karne ya 21 ambayo mimi na wewe tunajadiliana hapa! Qur'an imemzungumzia kwa misingi niliyoiweka hapo juu tangu karne ya 7. Wewe unasema tunamzungumzia vibaya ili iweje?
Muislamu anayemzungumzia vibaya Nabii Issa au Yesu ni muislamu jina, ni muislamu ambaye hana elimu na ndiyo waislamu mnaokutana nao.
Na haya yote yanatokea ni kwa sababu nyote hamna misingi bora ya kuielewa dini zenu. Mnahisi kutoleana kashfa na lugha za maudhi na matusi ni kutetea dini zenu. Nyote ninyi mna udhaifu wa imani. Nyote mnajihisi mnatetea dini zenu kumbe nyote mnafanya makosa mbele ya Mungu.
Fahamu ya kwamba, Nabii Issa mwana wa Mariam/Yesu si mali ya kwenu peke yenu. Yupo pande zote mbili Uislam na Ukristo. Kama mlivyo na haki ya kumzungumzia nasi kwetu tuna haki ya kumzungumzia. Kama nyinyi mnavyoona kwa namna nyengine tunavyomzungumzia sisi kwenu ni lugha za maudhi hali kadhalika na kwetu ni vivyo hivyo!
Muhimu ni kuwa na ustaarabu wa kustahamiliana. Maadamu marejeo ni kwa Mungu, yeye ataenda kuhukumu baina yetu na nyinyi ni yupi aliyesimama kwenye mstari wa kweli na wa haki.
Binti, mbona unakuwa na imani dhaifu kwa namna hii? Kosa halitumiki kuhalalisha kosa! Hata huyo Mungu unayejinasibu unamkamatia na kitabu chako ulichokikamatia nina amini hakuna mahala pamehalalishwa kwa hayo unayotumia kuhalalisha hoja.
Kama watu wanakosea jukumu lako ni kuwa sehemu ya kuweka sawa na wala si kuwa sehemu ya kuongeza tatizo. Huyu katusi ukristo na wewe unatusi uislam. Kufanya hivyo ni udhaifu wa imani.
Watu waliyojengeka kwenye misingi mizuri ya kiimani huwezi kuona wakitoa matusi kwa dini nyengine.
Ikiwa kama waislamu wanakuzungumzia vibaya juu ya imani yenu wewe mueleweshe. Akikataa fanya kama mitume walivyokuwa wakifanya.
Kwani Mitume na Manabii walivyokuja na ujumbe walipokelewa kwa lugha nzuri? Hapana! Wao hawakuwa sehemu ya tatizo kwa maneno mabaya waliyozungumziwa na watu wao! Bali waliwaombea msamaha, walionyesha upendo juu yao na kuwaombea kwa Mungu awapatie ufahamu mzuri wa kuuelewa ujumbe wake. Wewe unafeli wapi?
Huyu bwana haji kufanya mdahalo, bali anakuja kufanya muhadhara katika hizo mada alizozichagua. Hiyo mihadhara inafanyika mara kwa mara na wahadhiri wetu wa ndani na hakuna mtu aliyesema kuna udhalilishaji wa dini.Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Kiukweli mkuu kuna vitu siwezi kuandika humu in details Ila nilichokuja kugundua extremist yoyote, aidha awe muislamu au mkristu, ndani yao huwa wana ubaguzi mkali sanaNi kweli uliyoyasema
Na kwa sasa chuki zinaanzia mitandaoni na baadhi ya matamko ya viongozi pia
Ni aibu kubwa watu kutoa kashfa humu ila kwenye uhalisia mkikutana utafikiri sie anaelashifu humu
Ila hayo hueneza chuki mpaka kwenye familia
Kweli hatukufundishwa tuchukiane bali upendo tu
Tumeishi bila ugomvi miaka na miaka mpaka hata majirani ni heshima ya hali ya juu
Huwa nawashangaa wanaoanza na matusi na kejeli kuhusu dini ni Aibu tupu
Siku hizinapita tu
Sawa!Kwanza Yesu sio Issa bali ni ile papatu papatu ya kucopy maandiko ya biblia yakampata na kuleta mkanganyiko tele
Tatizo ni moja mnaanzisha mgogoro ,ukiwa mkubwa ukawashinda mnaanza kutumia kadi ya uvictim. Malalamiko fc
Mbona mna wasiwasi na huo mdahalo? Na hawamzungumzii huyo wa kwenu ambaye kila siku mnapinga humu kwamba ni wawili tofauti, atakayezunguziwa ni yule wa kwenye Qur an na sio wa kwenye biblia tulieni. Msipende kufanya watu waonekane hawajitambui na wao ni wasomi kama nyie, mdahalo ukizuiliwa nitamshangaa sana atakayeuzia.Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Mtu alie iva kibibiria hawezi kuwa na maneno kama hayaUnasema kwa Imani yetu alisulubiwa ,unarudi Tena unasema ni huyo huyo ,upo makini kweli ?
Mnajua kabisa huyo Issa hauziki na hana soko, mnachofanya mnamnasibisha na Yesu mfalme wa wafalme ili tu mpate soko
Uislamu ni majanga ,hata mitume ni wayahudi ,ila mnalazimishaga hivo hivo
Nasikitishwa sana na waumini upande wa pili anapokuwa kiongozi mkuu wa nchi ni Islam watalalamika kweli, sishangai hata hivyo mmechelewa kweli kumpaka doa huyu wa sasaSerikali ya kiislamu hii usitegemee huo mdahalo kuzuiliwa. Kwao ni sifa kueneza chuki za namna hiyo dhidi ya ukristo.