June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

Tatizo la makabila mengine ukiacha Wachagga ni kutothamini nyumbani na pia uchawi mkubwa kwa vitu vidogo vidogo.
 
Balozi Ruhinda ndie aliyekua mmoja wa waanzilishi wa gazeti la mwananchi na akiwa na Rostam
Kwa bahati nzuri mimi nilimfahamu Personally ila tulipotezana wakati alipopata Stroke akakosa wa kumhudumia akaenda kijijini. You can't believe, rafiki yake kabla hajatutoka alikuwa akimtembelea mara kwa mara huko kijijini.

Nimefarijika mwandishi mmoja aliposema kuwa alioa baada ya kuambiwa hawezi kuwa balozi akiwa mhuni tu. Najua mke wake alikuwa Mchagga ila alipopata stroke .... mengine tuyaache Pascal Mayalla ili awe mkwe! Joke
 
Huko unapopaita kwenu unamjengea nani? Mnaona ni busara mtu anayetafuta hela yake kwa jasho machozi na damu atumie hela yake kwenda kujenga sehemu ambayo hatoishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…