Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Picha wapi? Pascal MayallaAmejaaliwa mabinti pisi kali 3, kumbe ni Abahima wa ukoo wa Mkama Rumanyika!. Mabinti wa Abahima... sii mchezo!ila kazkaz ni Abahiru!
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha wapi? Pascal MayallaAmejaaliwa mabinti pisi kali 3, kumbe ni Abahima wa ukoo wa Mkama Rumanyika!. Mabinti wa Abahima... sii mchezo!ila kazkaz ni Abahiru!
P
Mh?? Kumbe Pascal Mayalla ?Zamani enzi za ujana!, ningekuwa enzi zangu, hawa mabinti... lakini sasa naelekea 60!, nimekuwa.
P
Hahahahaha, ina maana wahangaza nao ni bahima ? Utakua unatuoneaKayanda nae muhima mwenzake,jamii ya watutsi hawapendi kabisa kuchanganya damu
Ok wapi sasa ni wahima na wapi si wa hima?Wapo wahangaza watutsi na wahutu,Ngara nimesomea miaka minne nilikuwa mdogo tu nazikumbuka piss za murugwanza hatari
Yaani mimi nilete picha za mabinti wa watu humu jf?!.Picha wapi? Pascal Mayalla
Wahangaza ni Abahima, Watusi ni Abahima, Wahaya kuna Abahima na Abahuru, Wahutu ni Abairu.Hahahahaha, ina maana wahangaza nao ni bahima ? Utakua unatuonea
Its true!, ni hatari sana, danger!Wapo wahangaza watutsi na wahutu,Ngara nimesomea miaka minne nilikuwa mdogo tu nazikumbuka piss za murugwanza hatari
Zamani Usukumani tulisumbuliwa sana na vichawi, angalau sasa kuna mabadiliko vijijini watu wanashusha mijengo ya maana! Hiki ndicho kimetupa nguvu! Zamani mwanangu hufiki hata lenta unarudisha jezi!Hili hua la msingi sana tatizo wengi watoka vijijini hujifanya kwao mjini
Tatizo la makabila mengine ukiacha Wachagga ni kutothamini nyumbani na pia uchawi mkubwa kwa vitu vidogo vidogo.Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa kwao,watu hawani watu maarufu waliofanyia makubwa nchi hii, japo gavana alifariki akiwa hajafikisha hata miaka 50 alikuwa amejenga hekalu London na mikocheni DSM,cha ajabu kwao Ngara alijenga nyumba ya kawaida sana hata mimi ninaweza kuijenga,sasa kamati ya mazishi ikawaza ikawazua ikasema hapana,huyuni mtu mkubwa msiba wake watahudhuria vigogo akiwemo Rais Mwinyi,tumzike hapa hapa,japo alifia London akazikwa Buguruni Malapa,kaburi lake lipo hata leo,
Prince Ferdinand Ruhinda yeye sina taharifa za kujenga kwao au kutojenga ila ajiwa mtoto wa chifu wa nwisho wa Karagwe inashangaza kwa yeye kuzikwa Dar kutokana na mila ba desturi za kwao,kijana wa kiume huzikwa alipozikwa baba yake unless otherwise.
Kwa bahati nzuri mimi nilimfahamu Personally ila tulipotezana wakati alipopata Stroke akakosa wa kumhudumia akaenda kijijini. You can't believe, rafiki yake kabla hajatutoka alikuwa akimtembelea mara kwa mara huko kijijini.Balozi Ruhinda ndie aliyekua mmoja wa waanzilishi wa gazeti la mwananchi na akiwa na Rostam
Bukoba ni kama Rio de Jeneiro🤣🙌Improve your handwriting!
Huko unapopaita kwenu unamjengea nani? Mnaona ni busara mtu anayetafuta hela yake kwa jasho machozi na damu atumie hela yake kwenda kujenga sehemu ambayo hatoishi?Kuna UMASKINI na Kuna UMASKINI WA KUTUPA..
sio busara Sana ukawa umejenga ufalme wako Dar es salaam or elsewhere.....kula kunywa na starehe na anasa zotee alaf kwenu unapa sahau kiasi hata mwenyewe kupakataa
Wangapi wamewai kupa kataa kwao hata wazazi na ndugu zao kuwakana kisa wamepauka na kua choka mbaya...
Refer wimbo wa TMK WANAUME_NYUMBANI NI NYUMBANI 😊😊
Hata shule ipo Gilman Rutihinda ipo uKigogo Kuna mtaa unaitwa Rutihinda,Kuna uhusiano wowote wa eneo Hilo na jina la Gavana??
Hapo Sasa nimeelewa,Hata shule ipo Gilman Rutihinda ipo u
Huko huko kigogo
Hamna mtaa, isipokuwa kuna shule ilipewa jina lake kwani yeye alikuwa mlezi wake na kama nakumbuka vizuri binti yake alisoma hapo.Wale wakongwe wenzangu mtaongezea kusahihisha!Kigogo Kuna mtaa unaitwa Rutihinda