June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,

Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.

Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa kwao,watu hawani watu maarufu waliofanyia makubwa nchi hii, japo gavana alifariki akiwa hajafikisha hata miaka 50 alikuwa amejenga hekalu London na mikocheni DSM,cha ajabu kwao Ngara alijenga nyumba ya kawaida sana hata mimi ninaweza kuijenga,sasa kamati ya mazishi ikawaza ikawazua ikasema hapana,huyuni mtu mkubwa msiba wake watahudhuria vigogo akiwemo Rais Mwinyi,tumzike hapa hapa,japo alifia London akazikwa Buguruni Malapa,kaburi lake lipo hata leo,

Prince Ferdinand Ruhinda yeye sina taharifa za kujenga kwao au kutojenga ila ajiwa mtoto wa chifu wa nwisho wa Karagwe inashangaza kwa yeye kuzikwa Dar kutokana na mila ba desturi za kwao,kijana wa kiume huzikwa alipozikwa baba yake unless otherwise.
Tatizo la makabila mengine ukiacha Wachagga ni kutothamini nyumbani na pia uchawi mkubwa kwa vitu vidogo vidogo.
 
Balozi Ruhinda ndie aliyekua mmoja wa waanzilishi wa gazeti la mwananchi na akiwa na Rostam
Kwa bahati nzuri mimi nilimfahamu Personally ila tulipotezana wakati alipopata Stroke akakosa wa kumhudumia akaenda kijijini. You can't believe, rafiki yake kabla hajatutoka alikuwa akimtembelea mara kwa mara huko kijijini.

Nimefarijika mwandishi mmoja aliposema kuwa alioa baada ya kuambiwa hawezi kuwa balozi akiwa mhuni tu. Najua mke wake alikuwa Mchagga ila alipopata stroke .... mengine tuyaache Pascal Mayalla ili awe mkwe! Joke
 
Kuna UMASKINI na Kuna UMASKINI WA KUTUPA..

sio busara Sana ukawa umejenga ufalme wako Dar es salaam or elsewhere.....kula kunywa na starehe na anasa zotee alaf kwenu unapa sahau kiasi hata mwenyewe kupakataa

Wangapi wamewai kupa kataa kwao hata wazazi na ndugu zao kuwakana kisa wamepauka na kua choka mbaya...

Refer wimbo wa TMK WANAUME_NYUMBANI NI NYUMBANI 😊😊
Huko unapopaita kwenu unamjengea nani? Mnaona ni busara mtu anayetafuta hela yake kwa jasho machozi na damu atumie hela yake kwenda kujenga sehemu ambayo hatoishi?
 
Back
Top Bottom