Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Kuna Vijiji vya kujenga.Kuna maeneo ukijenga unajiwaisha mapema.Hawataki Kuna hata bati.Usione watu hawataki kujenga kwao ukawaona mafala.Kijana wangu Baada ya kupata kazi yake ya ualimu akapangiwa Mwanza,mshahara wake wa kwanza akaja kurekebisha kijumba Cha wazazi wake kukandika Tena na udongo kupiga ripu,akayatoa makuti na kupiga bati.kiasi kilichobaki akaoa na kuanza safari ya kurudi kazini,kufika Tabora kipere chini ya pua kimeiva ghafra tu mkewe si kamtumbua wakiwa kwenye basi.Kichwa kichwa ikabidi washuke njiani kwenda Hospital akutoboa kafia Tabora njiani.Msimba unarudi Pwani Kwa Mazishi kumbe Shangazi ndio Sterling.Hili hua la msingi sana tatizo wengi watoka vijijini hujifanya kwao mjini