Na mimi naona hivyo km anaweza Kanal aachie Mkanda full movie watu tuupakue tuthibitishe sio tunapangiwa kiasi hikiNina kila silika ya kuamini tunapangwa na mwana hajapanguswa!
Huyo lazima watambadilishia majukumu. Ogopa sana kilio cha wengiHawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo
Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk!
Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa! Kama kweli tumepangwa!
Kama linatumika kama modelity ya kutest mitambo basi in future litatumika Sana, maana limetoa majibu ya kuridhisha sana!
Ninachojaribu kuwaza ni hiki.. Kama mhusika kakubali kutumika kwenye hii experiment na sasa yuko sehemu salama kabisa anaperuzi na kusoma kila kitu kumhusuπ
LAKINI je? Kama hatupangwi ni tukio la kweli kwa kweli!? Kwa nafasi ya mhusika tunaweza kuingia kwenye rekodi za kushangaza! KWA NAFASI YAKE!
π kabadili ratiba ya kula huyoKama ni hivi kweli haushindi njaa
View attachment 3546981
Naweza kuamini kwakuwa yule sio layman! Kwa ulinzi alionao hawezi kuwa vulnerable kwenye naked air kiasi hicho kisha abebwe kama kifaranga!
GANI SASA HAYO YA KUKAA NA ULINZI MASAA YOTE HATA UKITAKA KWENDA KUCHEPUKA? KUNA WATU HAWANA AMANI NA WANA SILAHA HUYO ANAEZA KUWA MMOJA WAO ASEENaweza kuamini kwakuwa yule sio layman! Kwa ulinzi alionao hawezi kuwa vulnerable kwenye naked air kiasi hicho kisha abebwe kama kifaranga!
Una Manisha uongostino POLEPOLE NAE ni kitengo MKUU?Hii michezo ya watu wa system. Na huwa inafanyika makusudi ili kuficha jambo kubwa la Kitaifa linalokuwa linajadiliwa kwa wakati huo.
Mfano halisi ni kuwa ICC wametua nchini, Sasa hili kuficha ujio wao, lazima watu wa system watengeneze habari ya Udaku ili msahau ujio wa ICC nchini
Ila kuna watu wachokozi sanaπHii michezo ya watu wa system. Na huwa inafanyika makusudi ili kuficha jambo kubwa la Kitaifa linalokuwa linajadiliwa kwa wakati huo.
Mfano halisi ni kuwa ICC wametua nchini, Sasa hili kuficha ujio wao, lazima watu wa system watengeneze habari ya Udaku ili msahau ujio wa ICC nchini
Team msonga hawashindwi kufanya hivyo,Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo
Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk!
Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa! Kama kweli tumepangwa!
Kama linatumika kama modelity ya kutest mitambo basi in future litatumika Sana, maana limetoa majibu ya kuridhisha sana!
Ninachojaribu kuwaza ni hiki.. Kama mhusika kakubali kutumika kwenye hii experiment na sasa yuko sehemu salama kabisa anaperuzi na kusoma kila kitu kumhusuπ
LAKINI je? Kama hatupangwi ni tukio la kweli kwa kweli!? Kwa nafasi ya mhusika tunaweza kuingia kwenye rekodi za kushangaza! KWA NAFASI YAKE!
Ndio maana Mange na Maria mpaka sasa wako kimya!Team msonga &hawashindi kufanya hivyo,
1. Wali fake kifo cha Daudi Balali,
2. Waka fake kifo cha Msanii,
Wanatengeneza propaganda tele,
Ukizingatia Kikwete,
Ana watu aliokubaliana nao kutokukubaliana nje,
Recho na Chahali ni Project yake.