Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

Hii michezo ya watu wa system. Na huwa inafanyika makusudi ili kuficha jambo kubwa la Kitaifa linalokuwa linajadiliwa kwa wakati huo.

Mfano halisi ni kuwa ICC wametua nchini, Sasa hili kuficha ujio wao, lazima watu wa system watengeneze habari ya Udaku ili msahau ujio wa ICC nchini
Mkuu nipeleke hatua kwa hatua , wewe habari ya icc kutua nchini umetoa wapi?
 
MAISHA

GANI SASA HAYO YA KUKAA NA ULINZI MASAA YOTE HATA UKITAKA KWENDA KUCHEPUKA? KUNA WATU HAWANA AMANI NA WANA SILAHA HUYO ANAEZA KUWA MMOJA WAO ASEE
Basi nikadhani hii ndio connection yenyewe😂
1771701127764.jpg
 
Nilitoa maoni humu kuwa kuna jambo kubwa linatarajiwa kusemwa kwa wananchi nikahoji mbona hakuna dalili? Ili jambo kubwa lisemwe huwa kuna vitu vya kushangazashangaza hutokea hata kama si vya kweli, vya kweli hutangulia kama kuweka watu sawa au kuwapoteza maboya!
 
Hili tukio kama ni la kweli basi linashangaza kwa kweli, wahenga walisema muosha huoshwa
 
Hakuna anayetupanga. Ujinga wetu tu kuamini vitu bila ushahidi. Fikiria serikali watunge story kama hii ili iweje? Kwanza kwa serikali ni bora Mafwele asizungumziwe kwa lolote lile. Kumtaja Mafwele ni sawa na kuitaja Oct 29.
 
Hii michezo ya watu wa system. Na huwa inafanyika makusudi ili kuficha jambo kubwa la Kitaifa linalokuwa linajadiliwa kwa wakati huo.

Mfano halisi ni kuwa ICC wametua nchini, Sasa hili kuficha ujio wao, lazima watu wa system watengeneze habari ya Udaku ili msahau ujio wa ICC nchini
Kuna taarifa yeyote rasmi kuhusiana na ujio wa ICC nchini!?
 
Hakuna anayetupanga. Ujinga wetu tu kuamini vitu bila ushahidi. Fikiria serikali watunge story kama hii ili iweje? Kwanza kwa serikali ni bora Mafwele asizungumziwe kwa lolote lile. Kumtaja Mafwele ni sawa na kuitaja Oct 29.
Tunakuomba utusaidie kututoa ujinga wetu tafadhali 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom