Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

Mtiririko wa kushangaza
CDF
Banjoo
Mahita
Mafwele
CDF anasemekana kusema hakutakuwa na utekaji tena! LA sivyo...! Banjoo anatekwa na kupatikana kauliwa kikatili.. Habari zinavuja mhusika mkuu wa utekaji ni Mahita na wengine.. Videos za utekaji na wahusika wengine zinavuja.. Simulizi za Mafwele..! End of a party one!
Cross examination!
CDF(jeshi) kwasasa ndio anaangaliwa achukue hatua stahiki za kufanya jambo
Marehemu Banjoo ni controversial figure.. Ana background nyeusi.. Mafwele kahudumu Arusha ni lazima anamjua vema huyu mtu
Mahita anatajwa kuchukua nafasi ya Mwafwele Arusha.. Naye si mgeni na Banjoo

Banjoo katekwa, kapatikana kafa.. Mafwele zimeibuka simulizi nyingi.. Mahita kawekwa pending!

Summarization: connect dots iko kwa Marehemu na mtendwa vibaya anayetrend kwasasa
Je! Nani kamuwahi nani!? Marehemu kawahiwa kabla hajawahi? Kuna connection inakatika mahali ama kuna jambo kubwa zaidi nyuma ya pazia! Ni kama gorilla war! Vita ya kuviziana!
huyu kafa..! Wewe hatukuui.. Tuna kudhalilisha..!🥺🤔
 
Party 2
Ni nani aliyevujisha kwa Mange habari za kutekwa kwa Banjoo ?
Alipangwa ama ilikuwa exceptional coincidence?

Kwanini mvujishaji alimchagua Mange? Kwanini alilipata tukio zima kwa usahihi Sana?
Alikuwa na nani? Kwa usahihi ule wa kulipata tukio zima lilivyotokea na ushahidi wa picha video na majina ya wahusika inanisumbua sana kuamini aliyevujisha taarifa alikuwa layman tu mpitanjia .. Tena ambaye alitishiwa mtutu wa bunduki na akasepa!
2 b continued..!
 
Mkuu Leo umeandika jambo ambalo nimekuwa nikilisema humu na kwingine mara kwa mara kwamba activists wanatolewa relini. Lakini matusi ndo ninayopokea. Tulianza na Kabil na Habili nikabisha kwamba hao ni wanasystem wanatuchezesha Ngoma. Kiko wapi? Where is Kabil na Habil now?
Hiyo ni ad hominein!
 
gazeti lipo mitaani mjuba, mbona unajifanya huoni hiyo habari?
gazeti huku mtandaoni tumeona ile front page, na habari kamili walisema ipo kurasa wa 6, ila kws bahati mbaya page 6 mpaka sasa sjaona ikiongelewa ina content gani
 
Hii michezo ya watu wa system. Na huwa inafanyika makusudi ili kuficha jambo kubwa la Kitaifa linalokuwa linajadiliwa kwa wakati huo.

Mfano halisi ni kuwa ICC wametua nchini, Sasa hili kuficha ujio wao, lazima watu wa system watengeneze habari ya Udaku ili msahau ujio wa ICC nchini
Sasa mbona wanaoeneza ni wapingaji wa hiyo system
 
Yeah, angalau Maria naweza kumwamini,
Recho Dangwa na Sativa niliwaambia, maneno matupu bila kuweka ushahidi wa picha au video ni uongo wa mchana kweupe.
Hata Maria ni debe tupu aseee kama unabisha kapingane nae hana uvumilivu kabisaaaa.... Kimsingi ni ujinga kamini maneno yao kwa sasa mengi wanadanganya hasa ya watu binafsi
 
Uwezekano wa tukio kuwa la uongo ni mkubwa Sana.
Endapo la kweli hawawezi kuweka video itakuwa kesi ya jinai ambayo ushadi wa kuwatia hatiani wameuweka hadharani wenyewe.
Kifupi hawaezi kuweka hadharani.
Na mimi naona hivyo km anaweza Kanal aachie Mkanda full movie watu tuupakue tuthibitishe sio tunapangiwa kiasi hiki
 
Ndio maana Mange na Maria mpaka sasa wako kimya!
Mkuu Mshana Jr .... Heshima. Kwangu mimi sitaamini huu uzushi na niko tayari kuja kuomba radhi iwapo itadhibitika bila shaka kuwa ni kweli. Ila sasa hivi kiwango changu cha kukataa ni 99%. Kwa nini nasema ni uzushi
1. Mkuu wa majeshi anadaiwa kuwa ni chawa wa mama na ni mnufaika wa utawala
2. Kuna mkubwa mwingine jeshini, mzanzibar ambaye watu wanadai ndiye kila kitu
3. Mkuu wa usalama watu wanasema ni chawa wa mama na amefanya ufisadi mkubwa tu
Lakini pamoja na haya yote... hiii nguvu yote, wanatokea ''makomandoo'' wanaenda kumchukuwa Mafwele, kipenzi cha system cha kutekeleza mauaji, wanamwingiza kwenye kambi ya jeshi, wanamlawiti na ku-rekodi, halafu wanamwachia na kumpa onyo asifanye tena ujinga wake. Inaingia akilini kweli?
Zile zile kambi za jeshi ambazo ziko chini ya chawa wa mama zinatumika kumfanyia hivi! Kwa watu wanaojua maisha ya kijeshi, watakwambia hiyo kambi na wahusika watakiona cha mtema kuni! Msako utakaopita utapita na wale waliofanya hicho kitendo na hakuna mwanajeshi atakeyethubutu kufanya hivi bila kuwa na uhakika kuwa nchi inachukuliwa na utawala mwingine. Asilimia ndogo sana ya jambo hili kutokea ni wakati wa yale maandamano ya 29/10, kama kuna kikundi kilifanya hivyo wakati vikosi vya mauaji havijaanza kazi...
 
Labda hao watekaji wapya wawe wanateka watekaji wenzao, watekane wenyewe kwa wenyewe, wasiteke wananchi, ni fasheni mpya watekaji nao kutekwa!
 
Mkuu Mshana Jr .... Heshima. Kwangu mimi sitaamini huu uzushi na niko tayari kuja kuomba radhi iwapo itadhibitika bila shaka kuwa ni kweli. Ila sasa hivi kiwango changu cha kukataa ni 99%. Kwa nini nasema ni uzushi
1. Mkuu wa majeshi anadaiwa kuwa ni chawa wa mama na ni mnufaika wa utawala
2. Kuna mkubwa mwingine jeshini, mzanzibar ambaye watu wanadai ndiye kila kitu
3. Mkuu wa usalama watu wanasema ni chawa wa mama na amefanya ufisadi mkubwa tu
Lakini pamoja na haya yote... hiii nguvu yote, wanatokea ''makomandoo'' wanaenda kumchukuwa Mafwele, kipenzi cha system cha kutekeleza mauaji, wanamwingiza kwenye kambi ya jeshi, wanamlawiti na ku-rekodi, halafu wanamwachia na kumpa onyo asifanye tena ujinga wake. Inaingia akilini kweli?
Zile zile kambi za jeshi ambazo ziko chini ya chawa wa mama zinatumika kumfanyia hivi! Kwa watu wanaojua maisha ya kijeshi, watakwambia hiyo kambi na wahusika watakiona cha mtema kuni! Msako utakaopita utapita na wale waliofanya hicho kitendo na hakuna mwanajeshi atakeyethubutu kufanya hivi bila kuwa na uhakika kuwa nchi inachukuliwa na utawala mwingine. Asilimia ndogo sana ya jambo hili kutokea ni wakati wa yale maandamano ya 29/10, kama kuna kikundi kilifanya hivyo wakati vikosi vya mauaji havijaanza kazi...
Asante kwa uchambuzi na ufafanusi na ndio maana nikasema tunapangwa
 
IMG-20260222-WA0000.jpg
 
Upside down, hii ishu kama ni kweli hata polisi mkubwa, kamanda anaweza kutekwa na kufanyiwa mabaya, pengine hata viongozi wengine waliohusishwa na utekaji nao yakawafika makubwa
 
Back
Top Bottom