Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo

Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk!

Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa! Kama kweli tumepangwa!
Kama linatumika kama modelity ya kutest mitambo basi in future litatumika Sana, maana limetoa majibu ya kuridhisha sana!

Ninachojaribu kuwaza ni hiki.. Kama mhusika kakubali kutumika kwenye hii experiment na sasa yuko sehemu salama kabisa anaperuzi na kusoma kila kitu kumhusu😀

LAKINI je? Kama hatupangwi ni tukio la kweli kwa kweli!? Kwa nafasi ya mhusika tunaweza kuingia kwenye rekodi za kushangaza! KWA NAFASI YAKE!
Mafwele is overrated!
Ana kipi zaid ya kutumia mifumo kuumiza watu?

Mfungwa mtarajiwa huyo,kajitoa ufahamu na hasomi alama za nyakt!
 
C&P
Nimesikitika kuona kwamba upo kwenye ukingo wa ajabu sana _ Yani leo watu wanatangaza Huyu bwana mdogo kaingiliwa kinyume na maumbile nanyo imekuwa hoja _ Hivi mnajua ulinzi wa huyu kijana ni sawa na ule wa VIP ila kama haitosho tujiulize kama watu wazima ni kweli katika yote Mafwele anayodaiwa nakufanyia wengine malipo yake ni kuingiliwa na ni kweli hii ndio agenda ambayo tunatakiwa kuizungumzia ?

Karma is real ila tumeletewa hii Agenda na kuamini kama ndio kitu cha muhimu sana, ila hii habari ni uchafu zaidi maana agenda mhimu kwa sasa ilikuwa ni 3 hii ya Mafwele kuingilia makalio imekuja ili kufanya watu wahamishe mtazamo wa ;

1. Kudai katiba mpya ni mhimu kujua wale wote waliokufa Mo29 machozi yao yote yatafutwa kama katiba mpya itapatikana kilichofanya wakauliwa ni sababu walikuwa wanadai katiba mpya sasa tunapowasaliti na kugeuza aganda za kufirana hata kule shimoni walipotupwa wanatushanga.

2.Kudai haki za walioangushwa mo29 kwa katiba chafu iliyopo kwa sasa inaipa nguvu CCM kujibu choyo na ubabe kwa sababu hakuna mtu atawajibishwa kwa katiba mbaya kama hii ambayo inaipa CCM kutawala milele hata kama mtakuja na makundi ya kigaidi part 7 kama hakuna katiba mpya CCM itakuwa bado na nguvu ya kutawala na hayo makundi yenu yatahesabika kama makundi ya kigaidi na mwisho wa siku mfumo una nguvu ya kijeshi na rasilimali lazima tu itawashinda nguvu so nothing you can do zaidi ya kuhitaji katiba mpya ili wote waje kuwajibishwa na kumbuka damu zinapomwagika nchi inahitaji mabadiliko mabadiliko moja wapo sio tu Raisi kuondolewa madarakani ni pamoja na mfumo mpya wa kikatiba ili isije tena kutokea umwagaji wa damu.

3. Lissu kuachiwa ; Hili kundi lipo wazi linaweza kwenda na hii kesi ya Lissu polepole tukasema hapa Serikali haitoboi kumbe wenzetu wanaishika mahakam kwenye mikono yao lazima tufanye mbiu kubwa kuwahi kumwokoa Lissu kitendo cha yeye kuendelea kukaa mdaa mrefu magereza ni kuharibu akili yake au uwezo wake akitoka huko hatakuwa Lissu oringal ila aliyeshambuliwa na mateso ya kuta za gereza _ Kwa muundo wa sasa Lissu hawezi kuachiwa sababu Katiba ya Tanzania inaipa nguvu CCM kumtoa au isimtoe tunarudi pale pale namba moja _ Agenda iwe ni kudai katiba ila hapa wote mnapumbazwa na maswala ya kuingilina nadhani sisi watanzania tunazo akili ila akili wanazo wenye akili Asanteni.
 
Attachments

  • Screenshot_20260222-104427.png
    Screenshot_20260222-104427.png
    847.7 KB · Views: 24
hii tunapangwa tu,...huhitajiki kuwa genius kulijua hili ....
 
ukimaliza hii C&P nasubiri part 2 ulosema huko juu to be continued
 
Aluta continua
 
Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo

Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk!

Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa! Kama kweli tumepangwa!
Kama linatumika kama modelity ya kutest mitambo basi in future litatumika Sana, maana limetoa majibu ya kuridhisha sana!

Ninachojaribu kuwaza ni hiki.. Kama mhusika kakubali kutumika kwenye hii experiment na sasa yuko sehemu salama kabisa anaperuzi na kusoma kila kitu kumhusu😀

LAKINI je? Kama hatupangwi ni tukio la kweli kwa kweli!? Kwa nafasi ya mhusika tunaweza kuingia kwenye rekodi za kushangaza! KWA NAFASI YAKE!
Wanatupanga hamna kitu kama hicho. Mafwele anatuchora sana. Hata ndugu yake Balozi nae anatupanga tu.
 
Wanatuletea story za kutusahaulisha maumivu tuliyopitia kutokana na ukatili wao.... Story za kutunga.... Hakuna ukweli..... Hakuna kitu kama hicho.....
 
Hawa watu wanaojiita watetea haki wengi wao n content creator

Wanakaa wanabuni taarifa ya kuwapatia likes na comments tu tofauti na hapo hawana lolote wanaloweza kilifanya silaha yao kubwa na maneno
 
Ukishakubali kushikiwa akili na Mangekimambi na Maria kila kitu ukiambiwa unatakiwa useme ndiyo na ushangilie, ukitaka kujua yupo au hayupo nenda ofisi ya ZCO kawaambie unataka kukutana na ZCO
 
Back
Top Bottom