Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

Mkuu nipeleke hatua kwa hatua , wewe habari ya icc kutua nchini umetoa wapi?
 
Nilitoa maoni humu kuwa kuna jambo kubwa linatarajiwa kusemwa kwa wananchi nikahoji mbona hakuna dalili? Ili jambo kubwa lisemwe huwa kuna vitu vya kushangazashangaza hutokea hata kama si vya kweli, vya kweli hutangulia kama kuweka watu sawa au kuwapoteza maboya!
 
Hili tukio kama ni la kweli basi linashangaza kwa kweli, wahenga walisema muosha huoshwa
 
Hakuna anayetupanga. Ujinga wetu tu kuamini vitu bila ushahidi. Fikiria serikali watunge story kama hii ili iweje? Kwanza kwa serikali ni bora Mafwele asizungumziwe kwa lolote lile. Kumtaja Mafwele ni sawa na kuitaja Oct 29.
 
Kuna taarifa yeyote rasmi kuhusiana na ujio wa ICC nchini!?
 
Hakuna anayetupanga. Ujinga wetu tu kuamini vitu bila ushahidi. Fikiria serikali watunge story kama hii ili iweje? Kwanza kwa serikali ni bora Mafwele asizungumziwe kwa lolote lile. Kumtaja Mafwele ni sawa na kuitaja Oct 29.
Tunakuomba utusaidie kututoa ujinga wetu tafadhali πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…