Kati ya Mafwele na ICC kutua nchini ipi ni Headline inayoogopwa na watawala?
Ni kweli usemacho. Habari ina ukakasi Sana hiiICC, Oct 29, na Mafwele ni habari zinazohusiana. Sidhani kama watawala wangependa yote haya hajadiliwe sana. Halafu story ya Mafwele ina gaps nyingi sana kwa mtu reasonable kuiamini.
gazeti huku mtandaoni tumeona ile front page, na habari kamili walisema ipo kurasa wa 6, ila kws bahati mbaya page 6 mpaka sasa sjaona ikiongelewa ina content ganigazeti lipo mitaani mjuba, mbona unajifanya huoni hiyo habari?
Sasa mbona wanaoeneza ni wapingaji wa hiyo systemHii michezo ya watu wa system. Na huwa inafanyika makusudi ili kuficha jambo kubwa la Kitaifa linalokuwa linajadiliwa kwa wakati huo.
Mfano halisi ni kuwa ICC wametua nchini, Sasa hili kuficha ujio wao, lazima watu wa system watengeneze habari ya Udaku ili msahau ujio wa ICC nchini
Hata Maria ni debe tupu aseee kama unabisha kapingane nae hana uvumilivu kabisaaaa.... Kimsingi ni ujinga kamini maneno yao kwa sasa mengi wanadanganya hasa ya watu binafsiYeah, angalau Maria naweza kumwamini,
Recho Dangwa na Sativa niliwaambia, maneno matupu bila kuweka ushahidi wa picha au video ni uongo wa mchana kweupe.
Tukio la kufanyiwa Nini?Hili tukio kama ni la kweli basi linashangaza kwa kweli, wahenga walisema muosha huoshwa
Na mimi naona hivyo km anaweza Kanal aachie Mkanda full movie watu tuupakue tuthibitishe sio tunapangiwa kiasi hiki
Inadaiwa Mafwele amefirwa na watekaji wapya mjinina nani? Maana vijiwe vya kahawa na drafti stori kuu ni hii, wazee wanauliza ndio nani huyo?
watekaji wapya?!Inadaiwa Mafwele amefirwa na watekaji wapya mjini
Mkuu Mshana Jr .... Heshima. Kwangu mimi sitaamini huu uzushi na niko tayari kuja kuomba radhi iwapo itadhibitika bila shaka kuwa ni kweli. Ila sasa hivi kiwango changu cha kukataa ni 99%. Kwa nini nasema ni uzushiNdio maana Mange na Maria mpaka sasa wako kimya!
Asante kwa uchambuzi na ufafanusi na ndio maana nikasema tunapangwaMkuu Mshana Jr .... Heshima. Kwangu mimi sitaamini huu uzushi na niko tayari kuja kuomba radhi iwapo itadhibitika bila shaka kuwa ni kweli. Ila sasa hivi kiwango changu cha kukataa ni 99%. Kwa nini nasema ni uzushi
1. Mkuu wa majeshi anadaiwa kuwa ni chawa wa mama na ni mnufaika wa utawala
2. Kuna mkubwa mwingine jeshini, mzanzibar ambaye watu wanadai ndiye kila kitu
3. Mkuu wa usalama watu wanasema ni chawa wa mama na amefanya ufisadi mkubwa tu
Lakini pamoja na haya yote... hiii nguvu yote, wanatokea ''makomandoo'' wanaenda kumchukuwa Mafwele, kipenzi cha system cha kutekeleza mauaji, wanamwingiza kwenye kambi ya jeshi, wanamlawiti na ku-rekodi, halafu wanamwachia na kumpa onyo asifanye tena ujinga wake. Inaingia akilini kweli?
Zile zile kambi za jeshi ambazo ziko chini ya chawa wa mama zinatumika kumfanyia hivi! Kwa watu wanaojua maisha ya kijeshi, watakwambia hiyo kambi na wahusika watakiona cha mtema kuni! Msako utakaopita utapita na wale waliofanya hicho kitendo na hakuna mwanajeshi atakeyethubutu kufanya hivi bila kuwa na uhakika kuwa nchi inachukuliwa na utawala mwingine. Asilimia ndogo sana ya jambo hili kutokea ni wakati wa yale maandamano ya 29/10, kama kuna kikundi kilifanya hivyo wakati vikosi vya mauaji havijaanza kazi...
TFFwatekaji wapya?!
duh! Watawateka wengi sana waliohusishwa na utekaji