Mkuu hii ni kweli inaoneshwa amefirwa.Inaendelea ilipoishia
Tume ya mchongo imemaliza muda waliopeana, watanganyika wameanza kupiga kelele wanataka majibu hata kama tume ni ya mchongo
Majibu kwa vyovyote yanatisha na hakuna uwezekano wowote wa kuyachakachua.. Sasa nini kifanyike
Apatikane mbuzi wa kafara ambaye tayari jina lake limeshachafuka! Kumbuka mchafu hachafuki tena
Huyu mbuzi atangenezewe commotion ya tukio la kweli ama la uzushi kisha watembee nalo
Wakati huohuo tume ya uchunguzi iongezewe muda ili kucheza na wakati wakati wanajipanga upya
Mnapigwa dozi kali ya mwafwere kisha mnapozwa na panadol ya Gwaji boy๐View attachment 3547222
kah! Hii kali!Naam wao kazi yao ni kuteka na kuwafira watekaji wa zamani
Naam.kah! Hii kali!
Sawa ngoja tuendelee kusubiri.Uthibitisho ndio utahitimisha minong'ono yote mkuu
ChaiNina kila silika ya kuamini tunapangwa na mwana hajapanguswa!
Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo
Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk!
Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa! Kama kweli tumepangwa!
Kama linatumika kama modelity ya kutest mitambo basi in future litatumika Sana, maana limetoa majibu ya kuridhisha sana!
Ninachojaribu kuwaza ni hiki.. Kama mhusika kakubali kutumika kwenye hii experiment na sasa yuko sehemu salama kabisa anaperuzi na kusoma kila kitu kumhusu๐
LAKINI je? Kama hatupangwi ni tukio la kweli kwa kweli!? Kwa nafasi ya mhusika tunaweza kuingia kwenye rekodi za kushangaza! KWA N
Ikiwa ni kweli basi wao kwa wao wameuzana ili kujihami zaidi utakuta mwamba alianza jiona mungu mtu sasa kwa matukio aliyofanya pengine alianza tishia maboss wakaona uyu hastahili tena kuwepo kama ni kweliHawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo
Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk!
Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa! Kama kweli tumepangwa!
Kama linatumika kama modelity ya kutest mitambo basi in future litatumika Sana, maana limetoa majibu ya kuridhisha sana!
Ninachojaribu kuwaza ni hiki.. Kama mhusika kakubali kutumika kwenye hii experiment na sasa yuko sehemu salama kabisa anaperuzi na kusoma kila kitu kumhusu๐
LAKINI je? Kama hatupangwi ni tukio la kweli kwa kweli!? Kwa nafasi ya mhusika tunaweza kuingia kwenye rekodi za kushangaza! KWA NAFASI YAKE!
Mtu anabadili ratiba ya kula tu ๐๐๐๐๐Balaaaaaa sanaaa
Kwenye hili sakata kuna kitu hakiko sawa iwe uzushi ama iwe kweli .. Kuna jambo haliko sawa kabisaKaka ikiwa ni kweli badi
Ikiwa ni kweli basi wao kwa wao wameuzana ili kujihami zaidi utakuta mwamba alianza jiona mungu mtu sasa kwa matukio aliyofanya pengine alianza tishia maboss wakaona uyu hastahili tena kuwepo kama ni kweli