Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kwenye ulimwengu wa kidigitali just an SMS ni jambo la kawaida sana, Tanzania tumetawaliwa na marais 6, jee uliwahi kupata an SMS kutoka kwa Rais mwingine yoyote wa JMT kwenye simu yako?. To me this is the first time!, hivyo this is a history in the making!.
P
Kusifia tuu ndo kazi yenuuu ...Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Muombe hela 😂😂😂Jamani rais Mwinyi ananisumbua na txt zake kila saa nifanyeje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wamepokea wengi tu hizo sms?...acha kudeka bhanaKwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Mkuu mwakijembe, ni maneno kama haya yalimponza Blaza!. Anayeabudiwa na kusujudiwa ni Mungu pekee na sio binadamu yeyote hata awe Nani!.
Msitake kumponza Mama kama mlivyomponza Baba!. Mama ni mchamungu na hahitaji kuabudiwa wala kusujudiwa!.
P
Amekaa kiugumu vile hana jipya huyoMuombe hela 😂😂😂
Ningekuwa Tulia Slender ningechukua jeneza. Kwangu ingekuwa ni haki. Mayalla ni maiti. Slender hakuwa sahihi. Sugu ni mzima. Wala Sugu si baba yao watoto wa Ruvuma. Walimzika baba yao akiwa hai!Kuanzia Leo naaapa kwamba kamwe sisomi nyuzi za mayala amegeaduate PhD ya ......wa .
MZEE njaa itakuua walahiKwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Tatizo si kila rais ni msanii. Kwani we hukusikia kipindi cha JK ilikuwa ikifika usiku anaanza ku reply direct meseji kwa watu waliomtumia. Ushahidi upo.Yes kwenye ulimwengu wa kidigitali just an SMS ni jambo la kawaida sana, Tanzania tumetawaliwa na marais 6, jee uliwahi kupata an SMS kutoka kwa Rais mwingine yoyote wa JMT kwenye simu yako?. To me this is the first time!, hivyo this is a history in the making!.
P