Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

Upumbavu uliotukuka!! Mijitu ya aina hii ndio unaikuta inasema vijana hawafanyi kazi fulsa zipo nyingi huku lenyewe kutwa kusifia upuuzi ili lipate uteuzi. Nyanoko bhebheeeee
 
Yes kwenye ulimwengu wa kidigitali just an SMS ni jambo la kawaida sana, Tanzania tumetawaliwa na marais 6, jee uliwahi kupata an SMS kutoka kwa Rais mwingine yoyote wa JMT kwenye simu yako?. To me this is the first time!, hivyo this is a history in the making!.
P

Lipumbavu kabisa ! Hiyo mi push messages dio zimetoka kwa raisi? Pimbi kabisa ! Unamuona nani fala humu ?
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.

"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".

Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.

Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."

Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.

Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.

Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Kusifia tuu ndo kazi yenuuu ...

Hizi tozo za Sasa, Zilikuwepo huko nyumaa Kwa Marais walio pitaa....

Acha kujikomba. Lakini siyo mbayaaa.

Inshu ni kutafuta ulajii Mkuu. Na wewe siyo wewe.

Njaa mbayaa sana

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwa aina hii ya fikra,,,,imagine ni mtu mzima 50yrs anafanya hivi na elimu yake....sometimes tunalaumu wakoloni bure kwa kutuita sisi watu weusi nyani,,,,,sisi ni mizigo hapa duniani!!! Mtu kama huyu akipata hayo madaraka,,,,akipata lakini😁😁😁😁 hamna lolote atolofanya zaidi ya kujinufaisha na kuwatumikia waliompa cheo!!!!paskali ni mfano wa wasomi vichomi wa nchi hii,,,,
 
Huh
giphy.gif
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.

"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".

Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.

Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."

Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.

Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.

Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Mbona wamepokea wengi tu hizo sms?...acha kudeka bhana
 
Mkuu mwakijembe, ni maneno kama haya yalimponza Blaza!. Anayeabudiwa na kusujudiwa ni Mungu pekee na sio binadamu yeyote hata awe Nani!.
Msitake kumponza Mama kama mlivyomponza Baba!. Mama ni mchamungu na hahitaji kuabudiwa wala kusujudiwa!.
P

Ww ndio unamuabudu hadi kuona sms yake ni bonge la bahati. Sisi wengine wala hata akipita hapo pembeni hatumtetemekei kabisa.
 
Kuanzia Leo naaapa kwamba kamwe sisomi nyuzi za mayala amegeaduate PhD ya ......wa .
Ningekuwa Tulia Slender ningechukua jeneza. Kwangu ingekuwa ni haki. Mayalla ni maiti. Slender hakuwa sahihi. Sugu ni mzima. Wala Sugu si baba yao watoto wa Ruvuma. Walimzika baba yao akiwa hai!
Mayalla ni maiti. Afadhali angekuwa marehemu. Mwili wake ungezikwa, tukasahau. Maiti inayotembea. Msikule. Msikule hazikwi! Anasumbua tu. Mayalla has stooped too low. Ni aibu.
Acha Mungu aitwe Mungu. Sipati picha Siro akiwa paroko na Magu akiwa kardinali. Mungu aliwakataa. Aidha picha haikubali Paskali akiwa jaji. Juzi kasimlia kuhusu ndoto yake ya kuwa wakili. Anasema hiyo ndoto imetimia. Anakiri mwenyewe hawezi kuwa Lakha. Akakumbuka kuna dada wanasoma wote sasa hivi yeye ni jaji. Akabwabwaja kuwa naye angeweza kuwa jaji. Nilichefuka. If wishes were horses even Mayalla would be riding at the High Court! God forbid.
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.

"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".

Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.

Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."

Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.

Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.

Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
MZEE njaa itakuua walahi
 
Yes kwenye ulimwengu wa kidigitali just an SMS ni jambo la kawaida sana, Tanzania tumetawaliwa na marais 6, jee uliwahi kupata an SMS kutoka kwa Rais mwingine yoyote wa JMT kwenye simu yako?. To me this is the first time!, hivyo this is a history in the making!.
P
Tatizo si kila rais ni msanii. Kwani we hukusikia kipindi cha JK ilikuwa ikifika usiku anaanza ku reply direct meseji kwa watu waliomtumia. Ushahidi upo.
 
Back
Top Bottom