- Thread starter
- #81
Una uhakika?Kwa hii hukumu yako wangefungwa wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika?Kwa hii hukumu yako wangefungwa wengi
Actually I'm between the devil and deep blue sea.But,constrained to say so because the guy is already gone.Ndio imani yako hiyo?
Huo ndio ukweli wenyewe.Mama yake na yule Seth ndio wanaumia zaidi kwasababu anaonekana alikuwa kila kitu kwao
hajasukumwaAliemsukuma ahukumiwe vyema
Nimeacha kuangalia move Tangia huyu Jamaa atutoke,,R I P kipenzi Chetu[emoji22][emoji22]Wakuu.
Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke , sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia, tukutane hapa kujadili mawili matatu.
Kanumba tupo na wewe
Lala salama lakini haki itapatikana.
![]()
lakini haki itapatikana.
Aliemsukuma ahukumiwe vyema
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Justice gani alikuwa anabozogoa visicha underage yule. Zake ilikuwa vitoto vya primary tu yule
No justice to pedophiles and child molester like him.He took advantage of Lulu being minor and exploited her sexually.Lulu anastahili fidia na si kifungo.Wakuu.
Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke , sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia, tukutane hapa kujadili mawili matatu.
Kanumba tupo na wewe
Lala salama lakini haki itapatikana.
![]()
lakini haki itapatikana.
Alimsukuma akaangukia kisogo.
haya mambo ya wenyeji wewe hayakuhusu.Mi mgeni jamani kwani Kanumba ndo nani?