Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

lulu alikosea sana kjitenga na mama kanumba, angejenga ukaribu nae tu yote haya yangepita
 
Marehemu hakusubiri embe liive, alianza kulila na chumvi....
Pumzika kwa amani pole lulu
 
Wakuu.
Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke , sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia, tukutane hapa kujadili mawili matatu.

Kanumba tupo na wewe
Lala salama lakini haki itapatikana.

4fed2c6cda44f21eae0d00cb544aeba4.jpg

lakini haki itapatikana.
Nimeacha kuangalia move Tangia huyu Jamaa atutoke,,R I P kipenzi Chetu[emoji22][emoji22]
 
Laiti angekua hai, angekua na kesi ya kujibu, kwanza unyanyasaji Wa kijinsia, pili kulala na vitoto. Kilichomfanya amkimbie saiz yake Wema nn!!!?
 
Aliemsukuma ahukumiwe vyema

Kile kiandunje chenye mashauzi hata kikiachiwa na mahakama ntafunga safari nikakiroge Sumbawanga ,kwa chozi la mama Kanumba na wapenda bongo movie iliyokufa na Kanumba andunje hautaenda labor maisha yako hadi kaburini ,wote semenin amennn
 
Wakuu.
Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke , sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia, tukutane hapa kujadili mawili matatu.

Kanumba tupo na wewe
Lala salama lakini haki itapatikana.

4fed2c6cda44f21eae0d00cb544aeba4.jpg

lakini haki itapatikana.
No justice to pedophiles and child molester like him.He took advantage of Lulu being minor and exploited her sexually.Lulu anastahili fidia na si kifungo.
 
Tukiongea justice kwa predator kama Kanumba, inabidi kaburi lake libebwe likawekwe selo moja na Babu Seya. Huyu Lulu tunamfahamu, lakini huko kitaa sijui vitoto vingapi kaviharibu. Bora kafa tu yule.
 
Back
Top Bottom