Juventus Special Thread

Mourinho anajua kuwa shuguli ishaisha ndio maana anachunga kauli zake mwenye ujasili wa kubishana na ukweli kwa makusudi ni Gang Chomba lkn leo tutawachangamsha tu watake wasitake.


juve mpaka kafika hapa inamaana anaweza...so tulia yakhe
 



mi napingana na wewe...
kwa watu wa Soka tunajuwa kuwa Madrid kubanduliwa na Juve ni jambo jepesi coz ashabanduliwa mara kibao tu
 
Half time. Juve 1-1 Madrid
Tumepateza nafasi kama 2 za wazi kabisa. Moja ya Vidal dk za mwanzo kabisa. Tulipaswa kuwa mbele kwa goal 2. Tupo na displine ya kiwango cha juu...game bado ngumu tusubiri second half.
 
Asanteni sana hamjaniumiza sana ila hili bao la ugenini nuksi..... Please kazi mliyoianza leo mkaitimize vizuri kule Bernabeu.....kutoka moyoni napenda niwaone fainaly.......... Mourinho Maombi yako yawe nasi kesho yangu yamejibu......... #ForzaJuve . #ForzaBarca
 
Last edited by a moderator:
Juve ni bora zaidi ya Madrid
Mkongwe Pirlo na Vidal acha kabisa hawa watu

Barca vs Juve

Juve leo wameishangaza dunia...... Swala kala Simba........ Maana huko mitandaoni picha zilikuwa ni za simba na swala.
 
Ahsante Nguli Gang Chomba, JF Sports Lady everlenk, mpwaaa Ziroseventytwo, Mzee mwenzangu Aleyn, Mkuu Malafyale na wakuu ndugu woteee
Ahsante my beloved Juventus, grande Carlitos, grande Morata
Ila sijamuelewa refa kutoka England Mr.Atkinson, sijaelewa kwanini Carvajal or whatever his name is kamaliza game bila kuona red card lakini all in all #FinoAllaFino na ahsante Juventus kwa kunipa zawadi bora kabisa ya birthday yangu 6th May

#ForzaBianconeri
 
Last edited by a moderator:

Grande everlenk, tuko pamoja kama Tevez na nyavu, kesho niko nanyi kuwapa support ya nguvu mkimshughulikia ipasavyo mkoloni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…