Juventus Special Thread


Dah! Pole kaka, Mimi nilikuwa nao mguu kwa mguu. Sasa huko Turin kinapigwa kigodoro mpaka kuchee
 
Tunashuhudia fainal moja mbovu sana ambayo haijawahi kutokea, fainal yenye Magoal mengi zaidi.

mimi sio mshabiki wa juve ila nilianza kuishangilia baada ya kufika nusu fainal na baadae fainal ikiisha narudi kwa timu yangu.
sasa basi kwakuwa umesema fainal mbovu,tusubili siku hiyo na muda kama huu upite tena ili uje kyniambia hayo magoli mengi kafungwa nani...!?
team juve.
 
Congratulations Allegri.Naomba msamaha kwa kukutukana sana mwanzo wa msimu. You gave us a life lesson.I'm proud of you and the lads.Ahsante...ahsante...since 90's...tears..tears!


Hahahahaaa umefufuka Mkuu?
Usipotee sn kaka.
 
Barcelona kapata slope....mpira ungekua riadha hata bolt angesajiliwa man u

angalia hiyo slope unayoshuka wenzio wamekufa jana hapo chini kwa kujifanya wanajua njia...
 
Suarez anakwenda kukutana na maadui zake wawili Evra na yule aliyemng'ata bega nimemsahau jina,anaitwa nani vile?
 

Huyu naeee sasa ndio umeandika nini? Soma mwanzo wa maneno yako na mwisho.
 
Hongereni juve japo mmeruka mkojo sasa mmekanyaga mavi VIVA MSN
 
nipo kaka.kuna pilau nimekuwekea kule international forum naomba ukatupie japo matonge mawili matatu mkuu.

Mbona hujaniita Mkuu ktk hilo pilau? Ntalipata nikiinda mwenyewe kulitafuta au mpk uniite Mkuu?

Hongereni sn kwa kuingia fainali uzembe Wa Madrid ndio umewapa nafasi.
 

Aiseee!!! Pole sana ila niliwawakilisha vyema maana leo niliuvaa ujuve haswaa!!!!!! Duh Mourinho naye yuko wapi???
 
Last edited by a moderator:
Aiseee!!! Pole sana ila niliwawakilisha vyema maana leo niliuvaa ujuve haswaa!!!!!! Duh Mourinho naye yuko wapi???

Mourinho naye alikua chini ya uvungu presha ilimshika ya miguu. Hahahahaaa nimemuona Mourinho anapita kimya kwa LIKE
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…