Tunapoteza mipira hoovyo
Baada ya kusawazisha tumepunguza moto
HT Juve 1-1 Milan
kweli kabisa mkuu
Tunapoteza mipira hoovyo
Giovincooo!uuwii
Watu wazima leo wameshikwa vibaya,wanachezewa nusu uwanja.kweli Milan kushney!tunambwela tu tungepiga hata tano!