Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
aleyn hii gem messi atafanya kila hali ili ascore 1.awe mfungaji bora maana saivi ana magoli 10 na c.ronaldo ana 10Poleni sana, na hivi mmemchokoza Messi kuwa magoli ya ku_dribble anafunga akiwa Spain tuu, mtamkoma.
Hata Manuer Neuer alisema kuwa atamuona Messi kuwa yeye ni nani, na matokeo yake uliyaona. Sasa subiri muone ngoma mtakayokwenda kuicheza.
sasa hapo atataka yee ascore ili achukue gold shoes 2. atakapo chukua ndoo tayari kashajisafishia njia ya kuchukua kwa mara ya 5 Ballon d' or patam hapo 3. suarez anataka awaonyeshe evra na yule jamaa alie msababishia ban ya miezi 6 kiasi flani alikula hasara hapa atataka kuwaliza hapatoshi hapo 4. luis enrique (kocha) anataka aweke record one season triple cups patamu hapo 5 . mzee mzima xavi anatoka camp nou na heshima zote la liga copa del rey na uefa champions leage . @the team barca uspime!!