Uzuri wa fisi huambulia makomboMimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi
kabisa
Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu.
Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi
Sasa mdogo wangu Jux tangu nikujue sikuwahi kusikia drama yoyote ya mapenzi,Ukiacha yule kimbaumvau vanessa na yule kuku wakienyeji basiniseme una ckean sheet
Nyimbo zako huwa sizielewi ila niseme unajitahidi sana kujiheshimu.
Miaka zaidi ya 35 huna hata mtoto wa mchepuko ???
Africa sasa itajua kuwa wanaume wote ni kama wewengoja wajichanganye sasa kwa sisi mafisi
Hayo ni maamuzi na kujiandaa ...Hakuna ulazima wa umri huo ..Mzee wangu yuko mbali na hapo ila anadunda mpaka bbu yuko hai.Kule wabakufa na miaka 70+
Huku 50 chali
Usiwaige utaacha watorto wangali wadogo
Mushi apewe heshima yakeKuna msiba nilihudhuriawa Mchaga mmoja watoto walijitokeza kama 6, mama tofautitofauti halafu Kuna mke mkubwa yy alikuwa anaishi na mzee yeye alikuwa na watoto 4, wengine wawili wa nje mume alimletea nao mama tofaut halafu alikuwa anatoa photocopy.... Mke mkubwa alikuwa na watoto 6[emoji41]akajua mchezo umeishia hapo
Uzuri Mzee kumbe alisomesha wale watoto kisiri,alihudumia so walikuwa watu na maisha yao Ndugu zake na mzee walikuwa wanawajua wote na kwenye idadi ya watoto kwenye historia wakajumlishwa kusikia idadi ya watoto yule mama alipiga yowe ....[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
Akataja jina la huyo Mzee .... Tutumie Mushiiiiiiiiiiiii nilikwambia hakuna mwanamke ungeweza kuishi na wewe zaidi yangu! Onaaa
Uzuri kwl watoto wote walikuwa ni watu na maisha yao mazuri sana mbaya zaidi yaani huulizi walikuwa photocopy ya Mzee... Mzee kumbe alielekeza Mkewe kusimamia Kila kitu.... Na wale watoto nane wa nje akasema hakuna anayemdai kwani alishawapatia Elimu na wote walikuwa na kazi nzuri.... Hili Soo alisolve na pesa maana angekuwa hana pesa angesomeshaje na kuhudumia? Kuna kiwanda walikuwa nacho Cha kukamua na kuuza mafuta ya Alizeti na mashudu, maduka ya spare za magari... Mashamba yote Yako still na hakuna ugomvi uliotokea
Don't try this at home.
..
Sema kwa wewe fisi sio sisi mafisi😀😀Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi
kabisa
Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu.
Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi
Sasa mdogo wangu Jux tangu nikujue sikuwahi kusikia drama yoyote ya mapenzi,Ukiacha yule kimbaumvau vanessa na yule kuku wakienyeji basiniseme una ckean sheet
Nyimbo zako huwa sizielewi ila niseme unajitahidi sana kujiheshimu.
Miaka zaidi ya 35 huna hata mtoto wa mchepuko ???
Africa sasa itajua kuwa wanaume wote ni kama wewengoja wajichanganye sasa kwa sisi mafisi
Hii haina shida kabisaKuna msiba nilihudhuriawa Mchaga mmoja watoto walijitokeza kama 6, mama tofautitofauti halafu Kuna mke mkubwa yy alikuwa anaishi na mzee yeye alikuwa na watoto 4, wengine wawili wa nje mume alimletea nao mama tofaut halafu alikuwa anatoa photocopy.... Mke mkubwa alikuwa na watoto 6[emoji41]akajua mchezo umeishia hapo
Uzuri Mzee kumbe alisomesha wale watoto kisiri,alihudumia so walikuwa watu na maisha yao Ndugu zake na mzee walikuwa wanawajua wote na kwenye idadi ya watoto kwenye historia wakajumlishwa kusikia idadi ya watoto yule mama alipiga yowe ....[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
Akataja jina la huyo Mzee .... Tutumie Mushiiiiiiiiiiiii nilikwambia hakuna mwanamke ungeweza kuishi na wewe zaidi yangu! Onaaa
Uzuri kwl watoto wote walikuwa ni watu na maisha yao mazuri sana mbaya zaidi yaani huulizi walikuwa photocopy ya Mzee... Mzee kumbe alielekeza Mkewe kusimamia Kila kitu.... Na wale watoto nane wa nje akasema hakuna anayemdai kwani alishawapatia Elimu na wote walikuwa na kazi nzuri.... Hili Soo alisolve na pesa maana angekuwa hana pesa angesomeshaje na kuhudumia? Kuna kiwanda walikuwa nacho Cha kukamua na kuuza mafuta ya Alizeti na mashudu, maduka ya spare za magari... Mashamba yote Yako still na hakuna ugomvi uliotokea
Don't try this at home.
..
Mr Man you ndio mentality uliyonayo? Mbona una safari ndefu ivyoKule wabakufa na miaka 70+
Huku 50 chali
Usiwaige utaacha watorto wangali wadogo
Huyo ndio mwamba sasaKuna msiba nilihudhuriawa Mchaga mmoja watoto walijitokeza kama 6, mama tofautitofauti halafu Kuna mke mkubwa yy alikuwa anaishi na mzee yeye alikuwa na watoto 4, wengine wawili wa nje mume alimletea nao mama tofaut halafu alikuwa anatoa photocopy.... Mke mkubwa alikuwa na watoto 6[emoji41]akajua mchezo umeishia hapo
Uzuri Mzee kumbe alisomesha wale watoto kisiri,alihudumia so walikuwa watu na maisha yao Ndugu zake na mzee walikuwa wanawajua wote na kwenye idadi ya watoto kwenye historia wakajumlishwa kusikia idadi ya watoto yule mama alipiga yowe ....[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
Akataja jina la huyo Mzee .... Tutumie Mushiiiiiiiiiiiii nilikwambia hakuna mwanamke ungeweza kuishi na wewe zaidi yangu! Onaaa
Uzuri kwl watoto wote walikuwa ni watu na maisha yao mazuri sana mbaya zaidi yaani huulizi walikuwa photocopy ya Mzee... Mzee kumbe alielekeza Mkewe kusimamia Kila kitu.... Na wale watoto nane wa nje akasema hakuna anayemdai kwani alishawapatia Elimu na wote walikuwa na kazi nzuri.... Hili Soo alisolve na pesa maana angekuwa hana pesa angesomeshaje na kuhudumia? Kuna kiwanda walikuwa nacho Cha kukamua na kuuza mafuta ya Alizeti na mashudu, maduka ya spare za magari... Mashamba yote Yako still na hakuna ugomvi uliotokea
Don't try this at home.
..
Au tutengeneze maisha mi na wewe tuBadooo,mi ningekuwa padre tu