Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
Umeniwahi nilitaka niandike hivyo hivyoSisikii
Uzuri wako.
Nikuite nani
Wivu
Fimbo
Nitasubiri
Unaniweza
Ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniwahi nilitaka niandike hivyo hivyoSisikii
Uzuri wako.
Nikuite nani
Wivu
Fimbo
Nitasubiri
Unaniweza
Ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Umenikumbusha mbali sana ana ngoma yake moja inaitwa kimbau mbau kanenepa sio pwUNAMJUA DOGO NIGA SIMELA KWANZA?,MTAFUTE HUYO DOGO KISHA NJOO NA MREJESHO WAKE
Mbosso anatrend kwa sababu ameweza tu kuimba vitu vinavyopendwa na vijana wa kizazi cha leo yaani pombe na ngono vile vile lebo ya wasafi inampaisha lakini mimi binafsi sioni ukali wake. Ukiweka mbosso na jux mezani kura yangu naenda na jux, ingawa jux sio my favourite artist napenda tu baadhi ya nyimbo zake especially sisikii, nitasubiri na enjoy kuna ile shugga dad sio kali ila ina mzuka fulani hivi especially ukiwa na alcohol kadhaa kichwani
Katika lile kundi lao la Yamoto band ambaye bado anasikika ni Mboso kwakua yupo na Wasafi. Wenzake wapo kimya hawana support aliyonayo.Jux alichomzidi mbosso ni experience kwenye muziki, RnB sound iliyobaki kwenye mainstream, kujibrand vizuri tu na fashion sense inayomfanya kuwa relevant uswazi hadi ushuani. ila kwenye uimbaji, utunzi na live performance. Hamkaribii mbosso hata kidogo
Sema mbosso kakaa kipwani pwani, hajawahi kuwa na mahusiano ya kumfanya atrend kama Jux lakini pia nguvu ya WCB nyuma yake inamfanya awe kwenye kimvuli cha Diamond na Zuchu "WASAFI" tofauti na jux kama independent artist. Ndio maana unamchukulia poa ila mbosso ni moja ya vipaji halisi & "drama free" vilivyobaki kwenye bongo flava
Katika lile kundi lao la Yamoto band ambaye bado anasikika ni Mboso kwakua yupo na Wasafi. Wenzake wapo kimya hawana support aliyonayo.
Binafsi naona alibebwa na kundi na sasa anabebwa na lebo. Wakati anajiunga wasafi kuna series ya nyimbo alizitoa akiwa anatafuta identity yake nje ya Ya Moto Band, akatoa nyimbo slow hazikua success akatoa nyimbo zenye beat za kihindi na zikaclick mwanzoni
Akaswitch mpaka jina akajiita Mboso Khan kwenye video akavaa kihindi. Kisha zikafeli, wakarudi tena mezani wakakutana na upepo wa amapiano akasafiri nao. Na ninaamini mboso amesikilizwa sana kwenye amapiano na zile nyimbo za kihindi kuliko kokote.
Siamini kama mboso anaweza kusurvive nje ya wasafi. Kama lavalava pia hawezi survive nje ya wasafi
Je umetumia kigezo kipi?Diamond
Harmonize
Kiba
Marioo
Jux
Yes, identity siyo mbaya. Ukiacha Aslay kutoka kwenye kundi lao waliobaki walistruggle kutafuta identity. Hii ni kwavile Aslay alishakua solo musician kabla ya bendi.Kuwa na identity kwenye muziki sio mbaya maana kila mtu anapita chocho yake.. Hata Jux RnB ndio iliomtoa na alivyofanya collabo na G nako na Diamond kupitia amapiano ndio akapata mega hit songs kibongobongo kwa wakati huu.
Pia, Mbosso kwenye Yamoto ndio alikuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Aslay ambaye alilibeba kundi. Hivyo, mbosso kufanya vizuri kwa back up ya wasafi sio mbaya na haiondoi ukubwa wake maana hata Aslay ukitoa ile peak yake, ni miaka mingi bado anapambana kurudi katika kilele lakini bado hajaweza
Mind you, Aslay ana back up ya seven Mosha na Rock star, mtu aliyeanza kuwasimamia Jide na TID na hata kumpeleka Kiba international.. Kwa hiyo mbosso kufanya vizuri ndani ya WCB usiichukulie kawaida maana hata WCB yenyewe inamtegemea kwenye utunzi na classic live performances
Nikirudi pale pale, huwezi kumlinganisha mbosso na Jux kwenye kipaji cha muziki. Japo wapo tofauti kwenye genre ila ukiwaweka stage moja, Jux hawezi muingia mbosso hata kidogo maana mbosso can sing
Yes, identity siyo mbaya. Ukiacha Aslay kutoka kwenye kundi lao waliobaki walistruggle kutafuta identity. Hii ni kwavile Aslay alishakua solo musician kabla ya bendi.
Upo sahihi kote. Lakini aya mbili za mwisho siyo kwa 100%.
Sasa swali ambalo hua nawauliza sana watu tukiwa tunaongelea muziki ni "Aina gani ya muziki unaweza ukauassociate na Mboso?" Hii ni kwakua aina zote alizoimba na zikafanya asikilizwe ni zile zimekuja na upepo.
Zikiondoka msanii atabaki na id tunayoijua.
Nisiwe muongo, live performance niliyowahi iona ya Mboso ni kama highlight tu haikua full. Kwa nilichoona bado muziki wetu live performers ambao sauti zao hazitabadilika wakiimba live top 4 randomly ni Ben Paul, Ommy Dimpoz, Ali Kiba, Barnaba.
Mimi mboso simuelewi kwa kweli nyimbo zake ni mapenzi na ngono too much ni kama anatongoza demu au analenga zaidi kupendwa na mademu halafu kwenye video pozi zake dizain kama anageza swaga za shakur khan. Suala la perfomance jukwaani hapo ni wasafi nzima show zao zinakuaga na vibe sana nafikiri wameajiri watu kuwapa muongozo katika ilo. Ingawa wote mbosso na jux sio favourite artists wangu. Mimi old skul napendelea zaidi mziki wa wakongwe kidogo wakina banana zorro, lad jay dee n.k kwa kizazi cha sasa napenda zaidi mziki wa mario na ali kiba.Jux alichomzidi mbosso ni experience kwenye muziki, RnB sound iliyobaki kwenye mainstream, kujibrand vizuri tu na fashion sense inayomfanya kuwa relevant uswazi hadi ushuani. ila kwenye uimbaji, utunzi na live performance. Hamkaribii mbosso hata kidogo
Sema mbosso kakaa kipwani pwani, hajawahi kuwa na mahusiano ya kumfanya atrend kama Jux lakini pia nguvu ya WCB nyuma yake inamfanya awe kwenye kimvuli cha Diamond na Zuchu "WASAFI" tofauti na jux kama independent artist. Ndio maana unamchukulia poa ila mbosso ni moja ya vipaji halisi & "drama free" vilivyobaki kwenye bongo flava
Mimi mboso simuelewi kwa kweli nyimbo zake ni mapenzi na ngono too much ni kama anatongoza demu au analenga zaidi kupendwa na mademu halafu kwenye video pozi zake dizain kama anageza swaga za shakur khan. Suala la perfomance jukwaani hapo ni wasafi nzima show zao zinakuaga na vibe sana nafikiri wameajiri watu kuwapa muongozo katika ilo. Ingawa wote mbosso na jux sio favourite artists wangu. Mimi old skul napendelea zaidi mziki wa wakongwe kidogo wakina banana zorro, lad jay dee n.k kwa kizazi cha sasa napenda zaidi mziki wa mario na ali kiba.
Sanaa Ina sura nyingi, huo ni aina ya muziki anaouweza na una washabiki wake. Ni ngumu sana aina fulani ya muziki kupendwa na wote. Muziki sio ice creamMimi mboso simuelewi kwa kweli nyimbo zake ni mapenzi na ngono too much ni kama anatongoza demu au analenga zaidi kupendwa na mademu halafu kwenye video pozi zake dizain kama anageza swaga za shakur khan. Suala la perfomance jukwaani hapo ni wasafi nzima show zao zinakuaga na vibe sana nafikiri wameajiri watu kuwapa muongozo katika ilo. Ingawa wote mbosso na jux sio favourite artists wangu. Mimi old skul napendelea zaidi mziki wa wakongwe kidogo wakina banana zorro, lad jay dee n.k kwa kizazi cha sasa napenda zaidi mziki wa mario na ali kiba.
Ni kweli mkuu ili maisha yaende bila mikwaluzano lazima tukubali kutokukubaliana.Sanaa Ina sura nyingi, huo ni aina ya muziki anaouweza na una washabiki wake. Ni ngumu sana aina fulani ya muziki kupendwa na wote. Muziki sio ice cream
Hata ice cream Kuna ambao hawapendi
Nitakupa muda wangu na noti chochote unachotaka, !! Hako kamstar aisee nakaelewaSisikii
Uzuri wako.
Nikuite nani
Wivu
Fimbo
Nitasubiri
Unaniweza
Ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Jux na mbosso yupi yuko juu?Diamond
Harmonize
Kiba
Marioo
Jux
n.k