Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

Daaah ila watu tunatofautiana sana. Ila tu niseme

Wimbo pekee wa Jux ambao ninaweza kuusikiliza hadi mwisho ni IN CASE YOU DON' KNOW.
 
Jux... nakataa hakuna msanii pale, katumia miaka zaidi ya 10 kupata hit song moja
 
Mbosso anatrend kwa sababu ameweza tu kuimba vitu vinavyopendwa na vijana wa kizazi cha leo yaani pombe na ngono vile vile lebo ya wasafi inampaisha lakini mimi binafsi sioni ukali wake. Ukiweka mbosso na jux mezani kura yangu naenda na jux, ingawa jux sio my favourite artist napenda tu baadhi ya nyimbo zake especially sisikii, nitasubiri na enjoy kuna ile shugga dad sio kali ila ina mzuka fulani hivi especially ukiwa na alcohol kadhaa kichwani

Jux alichomzidi mbosso ni experience kwenye muziki, RnB sound iliyobaki kwenye mainstream, kujibrand vizuri tu na fashion sense inayomfanya kuwa relevant uswazi hadi ushuani. ila kwenye uimbaji, utunzi na live performance. Hamkaribii mbosso hata kidogo

Sema mbosso kakaa kipwani pwani, hajawahi kuwa na mahusiano ya kumfanya atrend kama Jux lakini pia nguvu ya WCB nyuma yake inamfanya awe kwenye kimvuli cha Diamond na Zuchu "WASAFI" tofauti na jux kama independent artist. Ndio maana unamchukulia poa ila mbosso ni moja ya vipaji halisi & "drama free" vilivyobaki kwenye bongo flava
 
Katika lile kundi lao la Yamoto band ambaye bado anasikika ni Mboso kwakua yupo na Wasafi. Wenzake wapo kimya hawana support aliyonayo.

Binafsi naona alibebwa na kundi na sasa anabebwa na lebo. Wakati anajiunga wasafi kuna series ya nyimbo alizitoa akiwa anatafuta identity yake nje ya Ya Moto Band, akatoa nyimbo slow hazikua success akatoa nyimbo zenye beat za kihindi na zikaclick mwanzoni

Akaswitch mpaka jina akajiita Mboso Khan kwenye video akavaa kihindi. Kisha zikafeli, wakarudi tena mezani wakakutana na upepo wa amapiano akasafiri nao. Na ninaamini mboso amesikilizwa sana kwenye amapiano na zile nyimbo za kihindi kuliko kokote.

Siamini kama mboso anaweza kusurvive nje ya wasafi. Kama lavalava pia hawezi survive nje ya wasafi
 
Kuwa na identity kwenye muziki sio mbaya maana kila mtu anapita chocho yake.. Hata Jux RnB ndio iliomtoa na alivyofanya collabo na G nako na Diamond kupitia amapiano ndio akapata mega hit songs kibongobongo kwa wakati huu.

Pia, Mbosso kwenye Yamoto ndio alikuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Aslay ambaye alilibeba kundi. Hivyo, mbosso kufanya vizuri kwa back up ya wasafi sio mbaya na haiondoi ukubwa wake maana hata Aslay ukitoa ile peak yake, ni miaka mingi bado anapambana kurudi katika kilele lakini bado hajaweza

Mind you, Aslay ana back up ya seven Mosha na Rock star, mtu aliyeanza kuwasimamia Jide na TID na hata kumpeleka Kiba international.. Kwa hiyo mbosso kufanya vizuri ndani ya WCB usiichukulie kawaida maana hata WCB yenyewe inamtegemea kwenye utunzi na classic live performances

Nikirudi pale pale, huwezi kumlinganisha mbosso na Jux kwenye kipaji cha muziki. Japo wapo tofauti kwenye genre ila ukiwaweka stage moja, Jux hawezi muingia mbosso hata kidogo maana mbosso can sing
 
Yes, identity siyo mbaya. Ukiacha Aslay kutoka kwenye kundi lao waliobaki walistruggle kutafuta identity. Hii ni kwavile Aslay alishakua solo musician kabla ya bendi.

Upo sahihi kote. Lakini aya mbili za mwisho siyo kwa 100%.

Sasa swali ambalo hua nawauliza sana watu tukiwa tunaongelea muziki ni "Aina gani ya muziki unaweza ukauassociate na Mboso?" Hii ni kwakua aina zote alizoimba na zikafanya asikilizwe ni zile zimekuja na upepo.

Zikiondoka msanii atabaki na id tunayoijua.

Nisiwe muongo, live performance niliyowahi iona ya Mboso ni kama highlight tu haikua full. Kwa nilichoona bado muziki wetu live performers ambao sauti zao hazitabadilika wakiimba live top 4 randomly ni Ben Paul, Ommy Dimpoz, Ali Kiba, Barnaba.
 
Mbosso anaimba baibuda au bongo flava hiyo hiyo 😁

Lakini pia unatakiwa kujua kuwa chini ya label, pesa inaangaliwa zaidi lakini culture ya label. Mfano WCB, hawafanyi invention mpya ya muziki ila wanaimba muziki unaofanya vizuri sokoni maana ni rahisi kuuuza na kuingiza faida. Ndio maana kina Vanny na Harmo waliimbishwa sana kinaija japo harmo hakijamtoka kichwani 😁😁 na sasa Zuchu na Mbosso wanaimbishwa Piano, pure business japo kwenye sanaa inakuwa ngumu kutoboa international kutokana na kukosa identity..

Live peformers nikiwatoa wa zamani kama banana, stara, jide, Tid, Q chief etc

Kwa sasa , live performers kwa upande wa uimbaji

Ruby
Aslay
Barnaba
Mbosso
Damian Soul
Yammi

Wengine nimesahau km wapo 😁😁

Huyu Peter Msechu na Ben pol kama vifungashio (japo hawa hawafanyi vizuri sana mainstream na ni wa kitambo kiasi)
 
Jux alichomzidi mbosso ni experience kwenye muziki, RnB sound iliyobaki kwenye mainstream, kujibrand vizuri tu na fashion sense inayomfanya kuwa relevant uswazi hadi ushuani. ila kwenye uimbaji, utunzi na live performance. Hamkaribii mbosso hata kidogo

Sema mbosso kakaa kipwani pwani, hajawahi kuwa na mahusiano ya kumfanya atrend kama Jux lakini pia nguvu ya WCB nyuma yake inamfanya awe kwenye kimvuli cha Diamond na Zuchu "WASAFI" tofauti na jux kama independent artist. Ndio maana unamchukulia poa ila mbosso ni moja ya vipaji halisi & "drama free" vilivyobaki kwenye bongo flava
Mimi mboso simuelewi kwa kweli nyimbo zake ni mapenzi na ngono too much ni kama anatongoza demu au analenga zaidi kupendwa na mademu halafu kwenye video pozi zake dizain kama anageza swaga za shakur khan. Suala la perfomance jukwaani hapo ni wasafi nzima show zao zinakuaga na vibe sana nafikiri wameajiri watu kuwapa muongozo katika ilo. Ingawa wote mbosso na jux sio favourite artists wangu. Mimi old skul napendelea zaidi mziki wa wakongwe kidogo wakina banana zorro, lad jay dee n.k kwa kizazi cha sasa napenda zaidi mziki wa mario na ali kiba.
 
Marioo hata mimi namkubali ila nae siku hizi kaanza kutabirika japo kichwa cha kutengeneza hit songs anacho
 
Jux ni underrated, nakubaliana na hili. He is one the best singers
 
Mimi mboso simuelewi kwa kweli nyimbo zake ni mapenzi na ngono too much ni kama anatongoza demu au analenga zaidi kupendwa na mademu halafu kwenye video pozi zake dizain kama anageza swaga za shakur khan. Suala la perfomance jukwaani hapo ni wasafi nzima show zao zinakuaga na vibe sana nafikiri wameajiri watu kuwapa muongozo katika ilo. Ingawa wote mbosso na jux sio favourite artists wangu. Mimi old skul napendelea zaidi mziki wa wakongwe kidogo wakina banana zorro, lad jay dee n.k kwa kizazi cha sasa napenda zaidi mziki wa mario na ali kiba.
Sanaa Ina sura nyingi, huo ni aina ya muziki anaouweza na una washabiki wake. Ni ngumu sana aina fulani ya muziki kupendwa na wote. Muziki sio ice cream
Hata ice cream Kuna ambao hawapendi
 
Ni kweli mkuu ili maisha yaende bila mikwaluzano lazima tukubali kutokukubaliana.
 
Huyu jamaa anajua sana! Na yuko relevant kila siku! Day after day anatoa mangoma na yanaenda bila kiki bila kelele zozote! Kwangu mimi anashika no mbili kwa wasanini ninaowakubali kibongo bongo!
 
Sisikii
Uzuri wako.
Nikuite nani
Wivu
Fimbo
Nitasubiri
Unaniweza

Ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nitakupa muda wangu na noti chochote unachotaka, !! Hako kamstar aisee nakaelewa
 
Jux mbona mkali kitambo,toka enzi za Napata raha, akaja na Uzuri wako, Nikuite nani, Nitasubiri na Sisikii...kweli alikuwa Underrated kama Hemmedy tu.

Sema jamaa kakaza na milango imekuja kufunguka kwenye Shugga Daddy na Enjoy, kwa sasa ukisema jamaa ni underrated ni uongo,jamaa kajipata tayari!
 
Back
Top Bottom