JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

Hiyo ya kuvunja tofali kwa kichwa hutumika kwenye show si practise za vitani sababu kuonyesha mafunzo yenu kisheshi ni uzaifu hivyo utampa adui nafasi ya kukujua.
Kwahiyo kile hakitumiki vitani, ukitaka kujua hakitumiki kawachokoze.
Kwa tulio pata mafunzo tunaelewa
 
Kama mnajiami kama taifa hata adui hawezi kukushtua akijua training zenyu. Nafkiri ushawahi ona "Surviving The Cut" ya America, documentary kuhusu training zao kwa vikundi tofauti tofauti za kijeshi. Sasa kama ingekuwa siri, wasingelitoa ile series, hii inamaana wanajiami. Na ukumbuke sio ati wamekuonyesha full training, la hasha, kuna zile training sensitive au za undani ndio hawaonyeshi lakini sehemu kubwa ya basic traning till first graduation wanakuonyeshaiv live.
Hao Alqaeda wenyewe wanakula training, nishaona video zao, na bado wanapepetwa tu kama vipi.
Afrika ndio tunaogopeana na kuwa na siri nyingi za utopolo ilhali hatujafika hata level zakuji mwambify.
Third world countries we're so much behind... 😂 😂 😂
 
Mbona umepanick sana? Umekutwa na nn? Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa kiongozi, siwezi kupinga mawazo yako..
 
Hivyo vyote kwenye vita vinahitajika kwa sababu mazingira yote hayo kwenye uwanja wa vita yapo. Kuvunja matofali huko ni kuonyesha tu ukomavu wa mtu na hiyo hali ipo majeshi yote duniani.

Mazoezi ya kuvunja tofali yanaingia kwenye hand to hand combat. Hii inatumika kwenye vita ya ardhini. Muda mwengine mnaweza mkakamatwa kama mateka na maadui na hii inatokea kwenye vita ya ardhini.

Kuna hali mnafundishwa kwa kuangalia mazingira fulani ili kupambana na kujiokoa mikononi mwa adui. Hii hali unafikiri mtatumia nini kujiokoa? Ndiyo yale mfano wa maonyesho ya makomandoo!

Yaani usipokuwa na silaha bunduki utatumia silaha gani kujiokoa na kufanya shambulizi kwa adui yako? Hivyo silaha si makombora na bunduki pekee! Bali hata yeye binadamu (mwanajeshi) ni silaha.
 
Sawa kiongozi, siwezi kupinga mawazo yako..
Hahaha huyu jamaa bhana!
Hajui teknolojia inayotangazwa ni tofauti na aliyonayo mhusika. Yaani ni teknolojia ambayo kwake imeshapita.

Hafahamu pia biashara za silaha zinafanyika kwenye black market.

Halafu hizi silaha anazozisema mbona zilishaonyeshwa hata kwa raia kipindi cha Mwamunyange?

Huyu kijana anaongelea nini?
 
Kuna ukweli lakin nchi za wenzetu kuna wasomi wengi wamegundua mambo mengi sana sisi bado sana
 
Kuna ukweli lakin nchi za wenzetu kuna wasomi wengi wamegundua mambo mengi sana sisi bado sana
 
Kakwambia nani hivi?
Kwa hiyo mimi kila kitu mpaka niambiwe na nani maana sina akili, ndio shida ya wa Tanzania kila kitu kakwambia nani utasema sisi manyani hatuna akili ya kujuwa mambo. najuwa sana mambo ya vita ardhini wanaingia wakijuwa tu hatari ya kupoteza maisha ya askari ni ndogo vita ni mahesabu sio kukurupuka tu.
 
Ulichosema ni kweli,kuwekeza kwenye teknolojia ni muhimu ila nadhani kuvunja matofali huwa ni maonyesho tu ya kufurahisha umati hayatumiki vitani
Tunamfurahisha nani sasa?
 
We Duwanzi kweli.

Waliommaliza Bin Laden walikua ni MARINES au NAVY SEALS??

If yes, kaangalie mazoezi yao au actions zao.

Hivi kumbe lishe duni utotoni ina madhara makubwa kiasi hichi mpaka uwezo wa kutumia kichwa unakua hakuna.

TFNC wanayo kazi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wanafua wanajeshi kupeleka UN

badala ya kuwapeleka kwenye nchi zilizopiga hatua kwenye teknolojia wakajifunze waje kufanya hapa sisi tumeushia tu hapo UN tena hao washua wakisha retire na kurudi home wanatuvimbia sana[emoji23] mimi huyo nilikuwa UN ujue. Yaan kazi kweli
 
Kulingana na hii website,Tanzania military power rank;24 kwa Africa na 109 kwa dunia eshi letu linajua tu kutishia upinzani
 
Yale ni mazoezi Ili hata ukitekwa ukipigwa tofali ni kama umepigwa na mkate kichwani
 
Hivi kwa nn Nyie kila kitu mnalalamika hamna uwezo , mbona wezi wa matrilioni ya pesa mnaficha huko ugaibuni
 
Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!
Weeeeeeee, acha uchokozi; fuatilia mafunzo ya NAVY SEAL Uone wanafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…