Bastola na bunduki huwa haiwashwi na computer!!!! bomu la kutupa kwa mkono haliihitaji kujua computer!!
Kuvuka mito yenye mamba kuingia eneo la dui misituni huhitaji computer
Askari hahitajiki tu mwenye akili nyingi anahitajika mwenye nguvu nyiki kuanzia kichwa chake kiwe na nguvu ,mikono yake iwe na nguvu na miguu yake iwe na nguvu sio nyoronyoro anayejua tu kubonyeza keyboard!!! Hiyo compute centre yake ikitwangwa na kombora atakuwa mgeni wa nani wakati hata vimiguu vyake nyoronyoro hata kukimbia hawezi na akikutana na adui baada ya kituo chake cha computer kushambuliwa hawezi hata mrushia ngumi au mateke na vichwa kuokoa maisha yake wasije mteka akatoa siri?
Physical and mental fitness ni foundation ya lazima ndani ya jeshi. Huko utapitia tu siku utakuwa enrolled. Hapa ni military tech advancement tunajadili.
Umeongelea kurusha bomu la mkono, sasa wewe uko mbali na bomu lako la mkono, mwenzako kule mbali ana Rocket Propelled Grenade (RPG) au zile Advanced Lightweight Grenade (ALG) Launcher, kumbuka hiyo ni tech imetumika kuitengeza kuanzia design yake hadi efficiency yake. Nani anapasuliwa hapo, wewe!
{A soldier demonstrates firing positions on the Mk 47 Striker}
Kuhusu Pistols na tech, ziko zenye kutumia finger print ya mtu mmoja pekee, na hiyo yote ni kuzuia hasara wakati umenyang'anywa bahati mbaya, mhuni hatoweza kuitumia hata aje na ndumba 😂, wewe tu ndio unaweza sababu tu ya print yako, hivi hapo hujaokoka maisha yako ama?
{The $400 Intelligun by Kodiak Industries lets you lock and unlock a gun with your fingerprint, the way you’d open an iPhone.}
Kuvuka mito yenye Mamba sio 😂😂😂, haya bhana, tech iko hapo pia, kuna machine inaitwa armoured vehicle-launched bridge (AVLB), hiyo ni gari na inaweza kuji convert kuwa bridge na magari ya kijeshi hata tanks kupita juu yake na kuvuka pande ya pili, hiyo nayo tech + engineering inahusika hapo.
{A Biber AVLB of the German Army using its own bridge}
{An M60A1 Armored Vehicle Launched Bridge, deploying its scissors-type bridge.}
{An M60 AVLB deploying its bridge on the banks of Lahn RIVER.}
{A Slovak AM-50 laying a fast bridge over the Torysa}
Kuhitimisha ni kwamba, ndo maana unaona nchi nyingi developed, military training yao hawa base sana kwa misuli, ni akili na tech + endurance kwa kila hali, penye kutumia nguvu wanarekebisha na PT nyingi, jamaa wanakuwa physicali all day everyday. Unaweza kuta kijana mwembamba ila hatari kupindukia sababu ana training ya kinyama, akili tech kila kitu ka fundishwa yaani akiingia pahali anasababisha hasara utadhani umevamiwa na kikundi kumbe timu tu ya mtu nne au tano lakini unatoa chenji kwao. Tech ndio future, misuli kiasi ndo usiwe bwege hata kujisaidia uwe unaweza.
{MTU-20 bridge layer}
{EWK-Gillois amphibious bridging vehicle}
{German M3 amphibious bridging vehicles}