JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

Tumekuwa watu wa kulalamika mno.
Ni vema tukaja na solution ya matatizo.
Mfano;kipaumbele kipi maboresho ya jeshi kwa gafla au maboresho ya jeshi kwa hatua kutokana na mahitaji ya wakati na uwepo wa rasilimali pesa?
pili,kuongeza bajeti y jeshi au kuongeza bajeti ya huduma za jamii.
Tatu,kuboresha mahusiano na kukusanya taarifa na kuzichakata na uvumbuzi wa kisayansi au kuboresha vifaa na teknolojia ya kupambana vitani?

Hayo ni machache ya kutafuta majibu kutokana na kipato chetu km taifa.

Kila mtu ana umuhim wake
 
Nilimsikia Kagame anataka kununua S-300 kutoka Russia
 
We mpumbavu kweli wew ...

Hyo israel na parestina ni kama ilala na Temeke.... Town city center tuu!!

Uwez linganisha kwa ukubwa wa nch!!!

Halafu hizo rocket hazipigi zaid ya mail 50 .. . ni jiran mnoo!!!!

Kama uamin!!! Njoo chombon field tukuonyeshe vitu ambavo ujawah kuvifikilia!! M*MAE
 
Anacheza huyu. Hakuna akijuacho
 
Unawaza kama mimi na hakuna nimekuwa nikikidharau kama kuona wanaoitwa makomandoo wetu wakishindana kuvunja tofali pale taifa, na kuruka kwenye ndege kwa kutumia parachuti,
Unasema tu hiiiiiiiii unanyamaza. Vita leo hii ni sayansi tupu, vita kubwa haziganwi kwa SMG, AK 47 nk, leo hii watu wanacheza na computa Dude linakufata huko huko.
Vita ya bunduki ni kwa ajili ya kupambana na vikundu vya waasi lkn nchi kwa nchi taifa kwa taifa hatuhitaji askari wa kuvunja matofali kwa mikono wala kwa vichwa.
 
Wanafua wanajeshi kupeleka UN
 
Mleta mada hujui usemacho chulia watu wamekuteka nyara wamekunyanganya silaha utapigana kwa teknolojia ipi zaidi ya kutumia ngumi mateke karate na kichwa chako?

Chukulia watu wanaleta vurugu eneo kama kariakoo ,gari haiwezi ingia je utatumia bunduki kuwapiga risasi wote kwenye vichochoro na mitaa iliyobanana ambayo ina vichochoro vingi?

Vita za ardhini mbali na kutumia silaha zinatuimia ngumi ,mateke na vichwa na karate.Wewe unawaza vita tu ya teknolojia utakuja tekwa mjini ulambwe makofi ubaki unalia tu kama bwege usiyeweza hata kujitetea kwa vichwa ,ngumi na mateke
 
Mkuu iyo teknolojia ya kulinda anga ina uzwa ni fedhaa tu. Ata mwaka janantaifa kubwa la Turkey walinunua mitambo ya warusi .

Cha msingi ni kuwa na elimu iliyo bora
Nimependa sana huo mstari wa mwisho. Nashukuru kwa maoni yako!!
 
Mkuu inawezekana unapitia magumu sana. Pole sana kwa yanayo kusibu.
 
Uchumi wa kati hautoshi kununua makombora?
 
Kwahiyo hata wakitaka kwenda kukamata majambazi watumie technology? Au unataka watoe siri za kambi? Hivi bila mazoezi Askari si watakuwa na vitambi kabisa, acha wapasue siku ukikutana na wale wazee [emoji123] au ndoo ndiyo utajua

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hujaelewa nilicho andika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…